How the leaders rank - The East african

Ngoja turahisishe mambo hapa chini.Angalia extract ya list marahisi wa Afrika na grades zao,nime-highlight marahisi wetu wa Afrika Mashariki.Ona Kikwete alivyo-performa...itakushangaza ha ha ha!
(Kwa uchambuzi makini zaidi soma document kamili iliyowekwa na Ustaadha hapo juu)

InAfrica.jpg
 
Hii ranking ilitolewa kabla hawajajua kuwa Kikwete aliiba kura. Wangejua hilo chati ingeshuka alingane na Museveni.
 
Ranking hii Imekaa kizushizushi tu.
Angalia Rais wa cote d' voire!
Bado hajaingia Ikulu kwa mgogoro na Gbagabo, halafu eti wame-rank no. 21 na kawapita watu kibao. Kwa kazi ipi? Nahisi ranking, ilikuwa ni imagination za mwandishi rather than actual Research.
 
Hapo kwa Rwanda naona kama wamechemka kabisa. Hii nchi imepiga hatua kubwa sana kwa kipindi kifupi ikiwa chini ya Kagame. Indeed ushindi wake wa kishindo kwenye uchaguzi uliofanyika hivi karibuni unatoa majibu tosha...!
 
Hongera JK, Umenyanyua jina la Tanzania. Hii repoti imeenda kwa kina na mapana kuelezea mafanikio ya kila rais wa nchi. Vigezo vilivyotumika ni dhahiri kabisa Umefika wakati watanzania kuachana na siasa za kulaumiana kihasidi na kuongeza juhudi za kushirikiana ili kuijenga nchi hii.

Hongera tena JK
 
While I as a patriot, feel proud of the fact that the Tanzanian leader is in the top 10, I'm dismayed by lack of objectivity of the report. First of all, criteria used in the ranking have not been given. Secondly, is the fact that Ouattara has been indicated in the report as the president for Cote d' voire and ranked 21 whilst power has not been handed to him by Mr. Gbagabo. This being said, I'm inclined to think that the Ranking Report has been purposely cooked and produced by someone who wants it be seen the way it is.
 
Hebu tupeni vigezo vilivyotumika kabla hatujatoa maoni.
 
Back
Top Bottom