How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

Kun uzi upinzani mliuanzisha kitambo mkiishangilia rwanda kununua ndege na mkajiuliza nchi kubwa kaa tz tunashindwa wapi na nchi ndogo. Leo kibao kimegeuzwa.
 
Kun uzi upinzani mliuanzisha kitambo mkiishangilia rwanda kununua ndege na mkajiuliza nchi kubwa kaa tz tunashindwa wapi na nchi ndogo. Leo kibao kimegeuzwa.
Hio ndo maana ya upinzania,kuleta amsha amsha.
 
Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ndipo tutageukia maendeleo ya watu.

P
Unasahau kuwa vitu huchoka, kuchakaa na pia hupitwa na wakati ilihali maendeleo ya watu huwa endelevu! Hivi umri wa ndege hizi zitaishi miaka mingapi? Usisahau pia waundaji wa ndege hizi wanaendelea kubuni na kuunda ndege mpya kwa maana ya matokeo mapya ambayo yatafunika matokeo yaliyopo. Hapo wamepanga na kuchagua bila kutafakari kwa kina!
 
Kazi ipo na wanasema bado ndege nne ni muda sasa watanzania tujue tunatoka vipi kwenye wimbi la umasikini bila kutegemea serikali mana huu ni unyama
 
Huo ndio Uchumi wa vyuo vya kata
Maelezo mengi hakuna ulichoandika

Sasa nakufundisha hapa Jf

Uchumi upo wa aina mbili tu, Hizo zingine ni story za vijiweni ni Micro yaani Uchumi mdogo ndio unaouongelea wewe wa households au Individual

Uchumi wa pili ndio huu unaotupa taabu sana sana sisi sasa yaani Macro, Hizi step za kupunguza money supply ndio zinazolalamikiwa na wengi sasa, Heavy tax collection policy watu zimegeuka mzigo sasa

Madhara Haya yana pande mbili kwenye Uchumi mkubwa unayoyaona wewe ni short run tu ndio unaona negative au hasi

Wanywa bia watakuambia bei za bia zimekuwa inelastic regardless ya heavy tax au kodi kubwa bei za bia bado zipo straight line, badiliko la bei is just small amount ambayo hakuna anayesense

Hizi ndege na train is about longrun, Faida utaziona ten years to come

Faida ya Muhimbili University au hospital za kikatolic impact yake inaonekana sasa tunapoweza kutibu magonjwa makubwa hapa nchini

Wakati ule muhimbili kujitenga na udsm watu walilaumu sana sana, Leo ndio unaona impact

The president is done his part, The remaining are dramers
 
Reactions: NOD
Haya mkuu mtaalamu kutoka jalalani.Asante kwa maoni mazuri na umeeleweka
 
Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ndipo tutageukia maendeleo ya watu.

P
Mkuu Pascal tumeamua na nani? Au ameamua tu mwenyewe!!
 
Kwa sasa watapinga, ila muda utakuja kuthibitisha.
 
Mashirika ya ndege mengi yanaendeshwa kwa hasara na sisi bila shaka shirika letu likiwemo na hapa usisahau deni kubwa la Taifa linaloongezeka kutokana na miradi hii ambayo baadhi haiwezi kuwa na tija leo wala kesho hasa hii ATCL.

Madhara ya deni la Taifa kwa nchi ni hela kutumika kulipa deni badala ya serikali kutumia fedha hizo kuajiri,kununuliwa madawa,kujenga vituo vya afya,kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu,kujenga mabarabara,kuongeza mishahara ya watumishi,kulipa wakandarasi wa ndani,n.k.

Kwahiyo hii miradi inatakiwa ilipe ili fedha zitazopatikana zitumike kulipia deni la Taifa vinginevyo huko mbeleni itakuwa ni majanga tu.
 
Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ndipo tutageukia maendeleo ya watu.

P
Humo ndani democracy imeongelewa! Ina maana una sapoti kuua democracy kwa kigezo cha "kupanga ni kuchagua"???
 
Ahsante sana kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…