Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
he he heeeeee, usiku hulali unaniota mimi tu. sasa sijui unaniota ukiwa macho? lol!Yaani hofu kwangu ondoa, mimi niko buheri wa afya..
Nimelipenda tabasamu lako mpaka nikinywa maji ninakuona kwenye Glasi..