How radio station makes more income | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How radio station makes more income

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Radio Producer, Apr 27, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hello,
  Salamu. kwa leo napenda kidogo kuzungumzia hili! Ni jinsi gani radio inaweza kukuingizia kipato zaidi katika radio yako. Kuna mambo machache ya kuzingatia kabla ya kuapply mbinu za kuingiza pesa.
  1. Hakikisha radio yako inapunguza ama kumaliza kabisa porojo ili iweze kuaminika na watu wa rika mbalimbali. (Porojo ni pamoja na kuongea vitu visivyo na maana, kukosea kosea maneno, lugha ya mtaani, kuwa na matatizo ya kiufundi, kuwa na vipindi visivyokuwa na walengwa, kutokutumia script wakati wa vipindi, kukosa clock format ya radio na kutokuwa master log inayoeleweka)

  2. Kuwa na watangazaji wenye general knowledge. Siyo anakuwa haelewi elewi tu, akiulizwa nini kinaendelea Libya anajibu nilishaacha kufuatilia. Wawe wabunifu wenye kujituma na kujisomea kila wakati vitabu mbalimbali. Uwezo wa kutumia computer utawasaidia sana.

  3. Uwajue walengwa wa radio (Targeted audience) Ujue radio station goals&format.

  4. Jaribu kubalance vipindi usiweke vya vijana tu, changanya mpaka vya watoto, viwepo vya kijamii, kisiasa, kiutamaduni, kidini, nk.

  5. Radio iwe na uwezo katika production ya vipindi, matangazo na mambo mengine zaidi.

  Radio inashauriwa iwe na (PA) Public Audio system.

  Kuna mengi ila hayo machache yanatosha kwa leo. Sasa baada kuwa na haya radio yako inaweza kukubalika na watu kuleta matangazo, vipindi, kudhamini na hata kusaidia kwa moyo wote.

  IMPORTANT: Kuna vipindi vya radio au Tv makusudi kwa ajili ya commercial ambavyo vinadesigniwa kwa lengo la kuingiza income moja kwa moja! Saizi hivi ndio vinaingizia media mbalimbali kipato cha nguvu. Hapa unahitaji kuwa na producer mwenye ideas na ubunifu mkubwa!

  Uliesoma ubarikiwe!
  By
  Radio Producer
  radioproducer@rediff.com
   
 2. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hizi business analysis nyingine bana??
  haya asante
   
 3. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  If someone don't need water he or she will complain or ignore the water given, but the one who need water will carry to his/her home and get a benefit. Please you are not commanded to comment on each post, sometimes you can keep quite to make other people benefit from posit given! Unachokichukia wewe au kukiona kibaya yupo mmoja atakaye kiona chafaa na kitamsaidia! Ndio maana Jf ilipewa kitu kinasema "where we dare to speak openly" sasa kama umeanza na lugha kama hiyo sidhani kama unaelewa Jf ninini hasa.
   
 4. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Blaza huo mchanganuo wako uko very shallow, kama unataka ku-create interest na kufundisha watu jipange uje na kitu kilichoshiba.
  kwani ulikuwa na haraka gani? mambo mengine umeandika mimi sijaelewa mfano sentesi hii, kukosa clock format ya radio na kutokuwa master log inayoeleweka au hii lesson ni kwa ajili ya wenye radio tayari? usimlaumu PapoKwaPapo yeye pia amedare to talk openly ametoa mtazamo wake kwa post yako so he is just right, au wewe ulitaka ambao wanaunga mkono tu hoja yako ndio wachangie?
   
 5. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Asante mkuu, sitaki tujibizane sana! vitu vingine usivyovielewa unauliza tu! hivyo vitu ni vya kiufundi ndani ya redio. nadhani hii imewalenga wahusika zaidi. Asante
   
 6. M

  Mary Chuwa Senior Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Radio Producer aksante kwa maoni yako kwa wenye kuyathamini wataona umuhimu wake,maana katika fani mbalimbali kuna lugha zake pia.
  Nitakupm kwa ushauri zaidi,ubarikiwe kwa ushauri wako
   
 7. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Thanks Mary Chuwa! mimi najua kuwa wahusika wataelewa zaidi na tutasaidiana zaidi katika tanisia hii! Asante karibu sana.
   
 8. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kuna jamaa humu JF alisema "kila mwendawazimu anafani yake"
   
 9. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Poa mkuu nimekusoma, lakini pia kwa kusoma vitu kama hivi ndo na wengine tunaweza kujenga mapenzi katika fani na kujiunga kama ikiwezekana au kupata tu general knowledge ambayo umesema ni muhimu watu wakaijenga hasa wana habari, NO HARD FEELINGS TUKO PAMOJA thanks for your useful thread.

  Kwa kuongezea tu mara mojamoja huwa napitia East Africa Radio, kuna mtangazaji anaitwa zembwela, huyu sijui alipata kazi hapo kwa vigezo gani maana kwa kweli kama ni suala la watangazaji kutokuwa na uelewa wa mambo (General Knowledge) yeye ni mfano mzuri, umewahi kumsikiliza hebu jaribu halafu nipe maoni yako tafadhali, huwa anakuwepo siku za wiki mida fulani kati ya saa tatu asubuhi na saa saba mchana, DUH!!! KAMA NI WEWE NIMEKWISHA!!!!
   
 10. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ulichokielezea ni jinsi Radio inavyoweza ku capture Audience kubwa lakini sio "Income".
  Income is the amount of money or its equivalent received during a period of time in exchange for labor or services, from the sale of goods or property, or as profit from financial investments.
  Sijaona ukizungumzia ni jinsi gani Redio itaingiza hela nyingi kutokana na hayo uliyoyataja, may b you better rephrase your title to "How radio stations capture more audience"
   
Loading...