LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
I can assume Safaricom = 50 Tanzanian companies
Did you compare how cheap is Telecom service in Tanzania vs Kenya?
Safaricom does not Export anything, That profit is milked from kenyans using exploitative meansView attachment 1096941
I can assume Safaricom = 50 Tanzanian companies
Only 35% of that amount remains in Kenya! The rest goes to Vodafone UK n Vodacom SA!Waoh, Huge profits,
Who is the beneficiary of this bulk money?
Only 35% of that amount remains in Kenya! The rest goes to Vodafone UK n Vodacom SA!
Did you compare how cheap is Telecom service in Tanzania vs Kenya?
Only 35% of that amount remains in Kenya! The rest goes to Vodafone UK n Vodacom SA!
Did you compare how cheap is Telecom service in Tanzania vs Kenya?
What's so cheap in Tz's telecom, mnavyoibiwa MBs kwa vifurushi vya upuzi.
Nikiwa kwenu huwa nachukia sana mnavyonyonywa na hayo makampuni ya simu, yaani nanunua kifurushi cha Voda cha wiki kwa shilingi 15,000 GB kumi, halafu ikitokea sijazitumia zote na wiki inaisha yaani vinapotea kwa maji.
Hapa Kenya siku au masaa yakiisha ukinunua kifurushi kingine kinajumuishwa kwenye salio ulilokua nalo.
Nimetumia internet katika nchi 6 zinazoizunguka Tanzania, pamoja na mapungufu yote bado huduma inayotolewa Tanzania ni very cheap.What's so cheap in Tz's telecom, mnavyoibiwa MBs kwa vifurushi vya upuzi.
Nikiwa kwenu huwa nachukia sana mnavyonyonywa na hayo makampuni ya simu, yaani nanunua kifurushi cha Voda cha wiki kwa shilingi 15,000 GB kumi, halafu ikitokea sijazitumia zote na wiki inaisha yaani vinapotea kwa maji.
Hapa Kenya siku au masaa yakiisha ukinunua kifurushi kingine kinajumuishwa kwenye salio ulilokua nalo.
Ahaaa haaa haaa
Wewe wanakupuna kwa sababu ya ujinga wako. Wenzako ikitokea hivyo wanapeleka evidence TCRA na kupewa haki yao na magharama ya usumbufu kede kede.
Even UK didn't yet.Vodafone owns 40% idiot. 60% is owned by GOK and the Kenyan public at NSE.
And still Safaricom re-invests a lot of their profit into their network. We're already thinking 5G when Tanzania is barely out of 3G.
Nimetumia internet katika nchi 6 zinazoizunguka Tanzania, pamoja na mapungufu yote bado huduma inayotolewa Tanzania ni very cheap.
Ebwana ni mtandao gani hapa Tanzania unatoa 10GB kwa TSh 15,000/- ?Cheap kivipi, tumia facts wacha hisia.
Kwenu nimetumia mitandao yote, hapa nazungumzia facts, mtandao wenu cheap labda kile kifurushi cha chuo cha Halotel, ila nacho ni majanga maana kasi yake ya ovyo. Tigo speed yao ni tupa kule, ovyoo sana.
Voda tu ndio huwa nawakubali walau speed yao imekaa Kikenya, lakini neno cheap halipo.
Ndugu huwezi nidanganya kitu kuhusu kenya. Nimeishi miaka kibao huko nimesoma huko na nimeanza kutumia huduma za simu huko tangu enzi za Kencel. YaisheCheap kivipi, tumia facts wacha hisia.
Kwenu nimetumia mitandao yote, hapa nazungumzia facts, mtandao wenu cheap labda kile kifurushi cha chuo cha Halotel, ila nacho ni majanga maana kasi yake ya ovyo. Tigo speed yao ni tupa kule, ovyoo sana.
Voda tu ndio huwa nawakubali walau speed yao imekaa Kikenya, lakini neno cheap halipo.
...and that is a very good thing, called democracy.I can assume Safaricom = 50 Tanzanian companies