How profitable is Safaricom ukicompare na top Tanzanian firms??

LightYagami

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,825
1,493
how big is saf.jpg

I can assume Safaricom = 50 Tanzanian companies
 
Did you compare how cheap is Telecom service in Tanzania vs Kenya?

What's so cheap in Tz's telecom, mnavyoibiwa MBs kwa vifurushi vya upuzi.
Nikiwa kwenu huwa nachukia sana mnavyonyonywa na hayo makampuni ya simu, yaani nanunua kifurushi cha Voda cha wiki kwa shilingi 15,000 GB kumi, halafu ikitokea sijazitumia zote na wiki inaisha yaani vinapotea kwa maji.
Hapa Kenya siku au masaa yakiisha ukinunua kifurushi kingine kinajumuishwa kwenye salio ulilokua nalo.
 
Only 35% of that amount remains in Kenya! The rest goes to Vodafone UK n Vodacom SA!

Vodafone owns 40% idiot. 60% is owned by GOK and the Kenyan public at NSE.
And still Safaricom re-invests a lot of their profit into their network. We're already thinking 5G when Tanzania is barely out of 3G.
 
What's so cheap in Tz's telecom, mnavyoibiwa MBs kwa vifurushi vya upuzi.
Nikiwa kwenu huwa nachukia sana mnavyonyonywa na hayo makampuni ya simu, yaani nanunua kifurushi cha Voda cha wiki kwa shilingi 15,000 GB kumi, halafu ikitokea sijazitumia zote na wiki inaisha yaani vinapotea kwa maji.
Hapa Kenya siku au masaa yakiisha ukinunua kifurushi kingine kinajumuishwa kwenye salio ulilokua nalo.

Ahaaa haaa haaa
Wewe wanakupuna kwa sababu ya ujinga wako. Wenzako ikitokea hivyo wanapeleka evidence TCRA na kupewa haki yao na magharama ya usumbufu kede kede.
 
Nimetumia internet katika nchi 6 zinazoizunguka Tanzania, pamoja na mapungufu yote bado huduma inayotolewa Tanzania ni very cheap.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ahaaa haaa haaa
Wewe wanakupuna kwa sababu ya ujinga wako. Wenzako ikitokea hivyo wanapeleka evidence TCRA na kupewa haki yao na magharama ya usumbufu kede kede.

Duh ulivyo mjinga na hicho kicheko chako cha kibinti binti, hehehehe wewe unaishi Tanzania gani hulijui hili kwamba mitandao yenu yote kifurushi kikiisha muda wake hata kama unazo MB kiasi gani huwa zinapotea kwa maji, hiyo ni sera hivyo TCRA watafanya kipi kipya wakati na wenyewe ndio hao hao wakuliwa mchana peupe.
Mitandao ya simu huwa imewabana nyote kwenye mapumb.... hamna uwezo wa kujitoa.

Kwa Safaricom nina raha sana maana hata nikinunua MBs kiasi gani na ziishe muda wake bado nitazipata nikinunua kingine, kuna wakati huwa hata nasafiri nje ya nchi nikirudi nakuta MB zangu ziko pale pale, nazifanyia activation tu basi.
 
Vodafone owns 40% idiot. 60% is owned by GOK and the Kenyan public at NSE.
And still Safaricom re-invests a lot of their profit into their network. We're already thinking 5G when Tanzania is barely out of 3G.
Even UK didn't yet.
 
Nimetumia internet katika nchi 6 zinazoizunguka Tanzania, pamoja na mapungufu yote bado huduma inayotolewa Tanzania ni very cheap.

Cheap kivipi, tumia facts wacha hisia.
Kwenu nimetumia mitandao yote, hapa nazungumzia facts, mtandao wenu cheap labda kile kifurushi cha chuo cha Halotel, ila nacho ni majanga maana kasi yake ya ovyo. Tigo speed yao ni tupa kule, ovyoo sana.
Voda tu ndio huwa nawakubali walau speed yao imekaa Kikenya, lakini neno cheap halipo.
 
Ebwana ni mtandao gani hapa Tanzania unatoa 10GB kwa TSh 15,000/- ?
 
Cheap kivipi, tumia facts wacha hisia.
Kwenu nimetumia mitandao yote, hapa nazungumzia facts, mtandao wenu cheap labda kile kifurushi cha chuo cha Halotel, ila nacho ni majanga maana kasi yake ya ovyo. Tigo speed yao ni tupa kule, ovyoo sana.
Voda tu ndio huwa nawakubali walau speed yao imekaa Kikenya, lakini neno cheap halipo.
Ndugu huwezi nidanganya kitu kuhusu kenya. Nimeishi miaka kibao huko nimesoma huko na nimeanza kutumia huduma za simu huko tangu enzi za Kencel. Yaishe
 
Najaribu kuonyesha one kenyan companies is more profitable, twice profitable actually, kushinda 14 Tanzanian companies. Tukampuni twenu tudogo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom