How much can Ohio hate King James | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How much can Ohio hate King James

Discussion in 'Sports' started by Kamundu, Jun 14, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Chuki inaua. Lakini kwa gavana mzima kufanya upupu kama huu this is just another low.
   
 3. T

  Tom JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sizijui sana hizo states lakini nadhani unaongelea matokeo ya NBA finals: Natamani King? James asiitwe KING tena maana ameprove si KING. I hate him the most as I lost lots of money all because I never believed James could be that bogus.
   
 4. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hii kiboko.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Stop self-hate. James amekuchukulia mkeo, hela yako au ni nini? DO u think anajali kama unamchukia?? Unaumiza tu vidole vyako kuandika.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mkuu I have the feeling huyu gavana ni white supremacist. Mtu kuhama timu sio ishu kivile na hakuna sheria aliyovunja. Huyu gavana ameonesha utoto wa hali ya juu, yeye pamoja na mmiliki wa Cavs.
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  If this is real, basi huyu gavana atakuwa amedata completely.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
 9. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  Hapana sio racism, wapo wachezaji wengi sana NBA weusi kama kina Billy Russel, magic, Jordan, Karim Abdulj, Backley,Kobe, Garnet, Regie Miller n.k wanaheshima kubwa sana. Ile tuzo ya MVP wa NBA final aliyopewa Dirk N inaitwa Billy Russel.


  LeBron alipokuwa Cleav walimlea sana na kumpa mapesa hata kuna wakati alishauri mchezaji gani awe traded. Well, ameichukua timu hadi fainali mara mbili kama sikosei na walikuwa wanamjazia mapesa tu. Tatizo alipoondoka alifanya kitu hata ma-hall of fame wengine hawakuwahi kufanya, yaani kuwa na saa nzima akihojiwa na kutangaza anakwenda south beach Miami. Halafu akasema amegundua he can't do it alone, yaani timu ilikuwa yeye, dharau kubwa kwa wenzake, management na washabiki. Ndio nyodo za akina ze comed. Alipofika Miami akakubali pay cut ili awe na akina Chris Bosh na Wade eti anautaka ubingwa.
  Huyu dogo na wenzake walikuwa na nyodo kama vile NBA ni yao, mimi nilitaka timu yoyote ishinde si Miami. He sucks!
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hayo maneno ya mkosaji, hivi mtu anaposaini contract ni kumlea? hoja za kumlea mtu just doesn't make any sense. Le Bron alikuwa akilipwa pesa based on his performances na hata alipoondoka Cavs we all know what happened there, Cavs came back to their hole of obscurity and a team no one cares about. Kitendo cha gavana kujiingiza hapa hakiwezi kuwa justified kwa namna yeyote, msimu kesho Le Bron akiamua kurudi Cavs ataweka wapi pua yake? The guy is just a douch.e hamna utetezi unao-hold water. Basketball is a biz and the decisions are made based on it, hakuna udugu. Hata Dirk angekuwa na hoja loyalty basi angebaki hukohuko kwao Ujeremani ili awe loyal na timu ya mtaani kwao.
   
 11. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Uchaguzi karibu jamani!!!
   
 12. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha!!! Abd punguza jwazba mufti wangu, performance miaka 7 no ring halafu uondoke kwa matusi. Le Bum sucks! He is the best player lakini too much nyodo, asubiri another 7 yrs kama akina Kidd, Dirk, Terry. Yeye ni mmoja wa best NBA players of all time, du hana ring! shame.
  Abdul jana nilikuwa happy. Tulichoka na tambo big 3 etc sasa LeBron na Heat sawa na Cavs tu! Mji umetulia.
  Kobe anazo 4 hana nyodo, Duncan anazo kibao hana nyodo, akina Billups etc

  Niambie katika historia ya NBA nani alishakwenda kwenye TV kutangaza trade kama LeB.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Jazba ya kitu gani mkulu? mi naenjoy maisha na wala siezi kuwa hater wa mtu ambaye is more successful zaidi yangu is practically living in another planet way beyond even my imagination.

  Asavali Lebron ana nyodo lakini ana KIPAJI that is the bottomline, na anapassion na anachokiamini na kukipenda ndio maana akakubali pay cut kuja South Beach..kama huna kipaji ndio unaishia kufanya mambo ya kitoto kama huyu Gavana ambaye kiumri anaweza kuwa sawa na babu wa Le Bron..sasa hebu msikize Le Bron..he he he ..

   
 14. P

  Pazi JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Jamani mie ni Maoni yangu kila mtu anakuwan a Maoni yake si chuki.. Lebron James Japo mie katika wale nimetaka Dallas wabebe kuliko Miami Lebron James ni kweli anavitabia ambavyo maoni yangu naona kamuharibu hata Wade ila ni ujana anaelewa anao muda wa kujirekebisha na anao umri wakuja kubeba mbele japo mie katika ambao sio big fan of him na baazi ya tabia ya majigambo ambayo bado hajafikia kule kwa wale Great players wenye "RING" japo na hilo James ni mchezaji mzuri mwenye skill nguvu na anamuda wakujirekebisha. Sasa tunarudi kwa huyu Mayor wa Ohio kwa alichofanya Maoni yangu ni ujinga amejishushia heshima angeitizama kwanza timu yake na kuipa moyo na kujali mengi ya kibinadamu ambao wanamatatizo katika mji wake kuliko kuongelea mbali kabisa na topic. hivi ndio katika vitu ambayo Mayor hafai kufanya labda kama anataka kujulikana ingekuwa Fans wa mtaani au kama sie humu tunao click click maneno sawa.
   
Loading...