Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Mi nasema Amen kwa niaba yako
nema nema nema nema
mama mkwe kwa kweli sitasema AMEN.... please
Tumuulize mwenyewe huyu mkwe
Ee aeleze....atasemaje hataki kusema Amen wakati yuko na binti yangu....
amen mshana kwakwel God is good to us...long time without seeing you jaman where were uuuu kwani???
Nasongesha hapa hapa jamiiphotos, Khantwe is giving me a wonderful company forumuni she is jus a nice gal ever, I adore her...!!!