...how many lovers is too many?

KIKUNGU

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
845
585
So what is the magic number? Is it one, three, 15 or like players over 1,000.How many lovers have you had before marriage? And does it matter?.In my experience, for most men and women, a number fewer than 10 suggests inexperience, while a number higher than 10 suggests promiscuity.
Before marriage ,I had more than 10 lovers ,was I promiscuity? And I really enjoyed the chase and when i got into marriage was experienced enough not to go back to the old ways

But guys all in all how many is too many, either before or after marriage?
 
Lakini mtu mmoja utapendapendaje hivo hao zaidi ya 10 ni lovers au mlikuwa mnaplay tu sex ? Hata sielewi mimi ni mgumu kupenda!
Mtu unaweza kuwa amesex na watu 100 but lovers ni wawili au imekaaje wadau?
 
Mi still counting...............
Still dowloading..................

Come on @Smile give us your experience bwana,is it lower or higher than 10 so far? Ngoja niwaite walimu @Snowhite and @gfsonwin na watupe kauzoefu kao
 
Lakini mtu mmoja utapendapendaje hivo hao zaidi ya 10 ni lovers au mlikuwa mnaplay tu sex ? Hata sielewi mimi ni mgumu kupenda!
Mtu unaweza kuwa amesex na watu 100 but lovers ni wawili au imekaaje wadau?

Mmmh Smile unataka kuazisha kitu kingine,sex na love is too complicated kutofautisha kwani unaweza kuanza na sex baadae ikaja love or other way round.Lakini mie sio mtaalum sana wa haya mambo ngoja waje wataalum wengine watuambie.Dada yangu @Kaunga uko wapi utuambia.
 
Lakini mtu mmoja utapendapendaje hivo hao zaidi ya 10 ni lovers au mlikuwa mnaplay tu sex ? Hata sielewi mimi ni mgumu kupenda!
Mtu unaweza kuwa amesex na watu 100 but lovers ni wawili au imekaaje wadau?

mi nashangaa.....
 
Inategemea...situation zinatofautiana kati ya mtu na mtu. Mwingine anaweza kubahatika akawa na mtu na kila mmoja wao akawa ameoza na mwenzake labda tangu walipoyafahamu mapenzi hivyo hawa unaweza kukuta idadi ya wapenzi wao ni ndogo sana na mwingine ambaye hakubahatika labda anatemwa kila baada ya muda mfupi au haridhiki na yule aliyekuwa naye basi anaweza kupanga msururu na mbele ya jamii akaonekana ni malaya/player. Hapa sizungumzii wale wanaopenda kujirusha huku na kule kwa raha zao.

Last edited by a moderator:

maana yake kati ya 100 amewahi kudondoka kimapenzi kwa wawili tu....98 waliobakia ni kula gudtime, kubadilisha experience na kuliwazana aka kupunguza protini tu
 
kweli alikuwa anamega tu?
Kuna watu wamekula k? Daah ingekuwa nanii yake inasoma unit ishablock siku nyingi
 
Inategemea...situation zinatofautiana kati ya mtu na mtu. Mwingine anaweza kubahatika akawa na mtu na kila mmoja wao akawa ameoza na mwenzake labda tangu walipoyafahamu mapenzi hivyo hawa unaweza kukuta idadi ya wapenzi wao ni ndogo sana na mwingine ambaye hakubahatika labda anatemwa kila baada ya muda mfupi au haridhiki na yule aliyekuwa naye basi anaweza kupanga msururu na mbele ya jamii akaonekana ni malaya/player. Hapa sizungumzii wale wanaopenda kujirusha huku na kule kwa raha zao.

Uko sahihi sana BAK,lakini je swali bado ...how many are too many?mmoja,wawili, au zaidi ya kumi?
 
Last edited by a moderator:
Im still having my first love. I hope he is not dying anytime soon coz i aint going no where.
Kuna mtu amenionea Paw wangu, ugali unapoa.
 
Wooh you are a dream woman/man,PAW must be the LUCKIEST man/woman alive.But all in all give us your life experience
 
started yesterday counting, put into years, then went into months and i decided to postpone and start the process tomorrow after counting 15 years of XXXXXXX
 
kweli alikuwa anamega tu?
Kuna watu wamekula k? Daah ingekuwa nanii yake inasoma unit ishablock siku nyingi

isiombe kukutana na watu wa namna hii, anaweza kupiga wanawake watatu tofauti ndani ya siku moja..... Haangalii sura wala tabia...yeye anaangalia upatikanaji wa K tu
 
Back
Top Bottom