Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Nov 4, 2011 #21 ukiweka kwenye mtihani utawahadaa sana watahiniwa!
dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,486 Nov 4, 2011 #22 ukiangalia kwa mlalo utaona mitano ukiangalia kwa kusimama utaona minne.huyu ana miguu minne tu.
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,093 Nov 4, 2011 Thread starter #23 I can't tell
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,855 Reaction score 405 Nov 4, 2011 #24 Ndallo said: Huyu wako ana miguu minne! Je na huyu anamiguu mingapi? Click to expand... Huu mzakali ukisimama na kuanza kutema cheche tayari kwa kuzama kunako kwenye njia yake si inakuwa balaa kabisa!! Nasikia pamoja na ukubwa huo, punda ndiyo balaa zaidi.
Ndallo said: Huyu wako ana miguu minne! Je na huyu anamiguu mingapi? Click to expand... Huu mzakali ukisimama na kuanza kutema cheche tayari kwa kuzama kunako kwenye njia yake si inakuwa balaa kabisa!! Nasikia pamoja na ukubwa huo, punda ndiyo balaa zaidi.
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Nov 4, 2011 #25 super thinker said: Utakuta lidemu linatamani liki2 kama hilo...........dada zetu hawa bana!!! Click to expand... Kwani shida iko wapi?
super thinker said: Utakuta lidemu linatamani liki2 kama hilo...........dada zetu hawa bana!!! Click to expand... Kwani shida iko wapi?
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Nov 4, 2011 #26 ​sishangai kwasababu ni wa kuchora huyo
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Nov 5, 2011 #27 miguu minne tu. ila tembo wa Ndallo ana miguu mitano