Dua
JF-Expert Member
- Nov 14, 2006
- 3,229
- 662
On the spot about JPM good work Darius Mkiza.
How Magufuli transforms Tanzania, African politics
National Leading English Newspaper
www.dailynews.co.tz
Mkuu jikite kwenye mada, Je alichoandika sio sahihi? Pinga hoja kwa hoja sio vituko. Mmeshikwa pabaya na JPM hapa kazi tu!Gazeti lenyewe ni Daily Noise. Mwandishi Darius Mukiza. Sounds kama Mrundi au Mnyarwanda anayejipendekeza big time.
Nonsense kabisa
Hoja ndiyo hiyo. Ameandika upuuzi mtupu.Mkuu jikite kwenye mada, Je alichoandika sio sahihi? Pinga hoja kwa hoja sio vituko. Mmeshikwa pabaya na JPM hapa kazi tu!
Kwa sasa dunia nzima ikizungumza uongozi bora Afrika inamuangalia Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia, mshindi wa nishani ya Nobel ya Amani ya mwaka huu.
Ukisema Magufuli duniani huku wanakuuliza "Magu who?".
Huhitaji propaganda kum discredit JPM.Hiyo dunia itakuwa ya kusadidika maana tunaona ambavyo wamejikita kwenye misinformation na propaganda about JPM na Tanzania kwa ujumla. BTW the media moguls who runs this world have not left us alone. JPM kawaambia sihitaji fedha zenu kwa masharti yenu magumu, kwamba pesa tunazo wenyewe kufanya maendeleo yetu, wamebaki kuduwaa. FYI all media moguls are following every word and coma from JPM maana wanafahamu what is coming next. For those mediocre ones, they will know very soon who is JPM.
Huhitaji propaganda kum discredit JPM.
Huhitaji propaganda kum discredit mtu mzima anayejikojolea na kujinyea hadharani.
Watu wanaoona mabaya mengi ya JPM si watu wa nje tu.
Watanzania wengi tu tunaona hilo, sasa na sisi tunafanya propaganda?
Umeona data mpya za Bank of Tanzania kuhusu exports za agriculture zilivyoshuka, si kushuka tu, zilivyoporomoka, kutokana na serikali kuingilia biashara ya korosho?
Bank of Tanzania nao wanafanya propaganda against JPM?
Unamjibu the petty dictator from East Africa, watakuelewa tuuKwa sasa dunia nzima ikizungumza uongozi bora Afrika inamuangalia Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia, mshindi wa nishani ya Nobel ya Amani ya mwaka huu.
Ukisema Magufuli duniani huku wanakuuliza "Magu who?".
Umeshindwa hoja, unaleta viroja.Wewe pamoja na vikaragosi wenzio ndio mnaona mmenyang'anywa tonge mdomoni kwa sababu mlikuwa mnawadhulumu WTZ walio wengi haki yao. Kuna survey za hivi karibuni WTZ majority wanam-support JPM.
Wakulima wa korosho wote walipata bei nzuri kuliko ya maharamia na walanguzi wa korosho.
BOT wanatoa data kutokana na uchumi unavyokua, Tshillings imetengemaa hivi sasa kutokana na sera nzuri za maendeleo kwa Tanzania, ndio sababu WB, ADB etc wana-support juhudi na uongozi wa JPM. Kama wewe na kundi lako hamuwezi kuliona hilo inabidi mwende mkapime macho yenu huenda mkawa na makengeza. BTW you are minority.
Umeshindwa hoja, unaleta viroja.
I will let The Citizen and Bank of Tanzania data speak for me..
Mauzo ya nje ya mazao ya kilimo yameanguka kwa zaidi ya nusu nzima ndani ya mwaka mmoja.
Poromoko la zaidi ya nusu nzima, ndani ya mwaka mmoja.
Hizo ni data za Bank of Tanzania.
Agricultural exports dip by 55 per cent as gold sales volume grow by 25pc
Tanzania’s agricultural export earnings have slumped by over a half in a year, which however saw gold earnings rising 25 per cent.www.google.com
Dar es Salaam. Tanzania’s agricultural export earnings have slumped by over a half in a year, which however saw gold earnings rising 25 per cent.
The 55 per cent drop which decelerated the traditional export earnings to $508.8m (Sh1.17tr) in the year to August 2019, was caused by a fall of either prices or volumes of the produce, including cashew nuts, cloves, tobacco and sisal, according to the latest monthly economic review of the Bank of Tanzania (BoT).
It was only coffee that saw increased volume due to good weather during harvest season.
Tourism is Tanzania’s leading foreign exchange earner with an annual average income of $2.3bn (Sh5.29tr) per year, followed by gold, transport services and manufactured goods.
Traditional exports – composed of agricultural produce – are now ranked fifth after dropping from $1.1bn (Sh2.53tr) in August 2018 to $508.8m (Sh1.17tr) this year

Mkuu nadhani umeusahau ule msemo usemao nabii hakubaliki kwao. Ukiukumbuka wala hautatumia nguvu nyingi kumueleze JPM.Wewe pamoja na vikaragosi wenzio ndio mnaona mmenyang'anywa tonge mdomoni kwa sababu mlikuwa mnawadhulumu WTZ walio wengi haki yao. Kuna survey za hivi karibuni WTZ majority wanam-support JPM.
Wakulima wa korosho wote walipata bei nzuri kuliko ya maharamia na walanguzi wa korosho.
BOT wanatoa data kutokana na uchumi unavyokua, Tshillings imetengemaa hivi sasa kutokana na sera nzuri za maendeleo kwa Tanzania, ndio sababu WB, ADB etc wana-support juhudi na uongozi wa JPM. Kama wewe na kundi lako hamuwezi kuliona hilo inabidi mwende mkapime macho yenu huenda mkawa na makengeza. BTW you are minority.
Uzuri au ubaya wangu ni kwamba sikatai challenge. Umekatta drop ya 55% ya exports, ripoti ya BOT yenyewe, si muandishi wa habari, imeonesha hilo.Obviously people like you want us to believe that the export of agricultural products has slumped to almost half in a monthly bulletin produced by BOT. That is false and ridiculous. The writer (A Masari Malawi) failed to give the reasons for such a drastic fall and ended up fabricating the story to suit his narrative.
You cannot seriously claim a fall of more than 40% without producing reasons for that fall and just assume it was either fall of volumes or prices. Bring the reasons for that fall if you wish and not assume to be prices or volume. I would presume such a writer to be more specific and be investigative to give a clearer picture than standing on the fence, to make matters worse some idiots who do not know how to interpret join in a bandwagon that we lost exports of that magnitude. If that was the case then the economy of this country would have collapsed within days. It is a well known fact that tourism is the leader in injecting foreign exchange for quite a long time now followed by gold/other minerals etc. I urge you to bring the correct data produced by the Government to show the exact figures rather than depending on the Kenyan paper propaganda.
BTW BOT did not give any figures and their narrative was the 25% increase in gold sales, then the writer added his own story which cannot be verified. BOT gave monthly overview of gold sales, if you are minded bring the BOT actual bulletin, also bring figures for export volumes from Tanzania for last year and for this year to compare.
Magufuli ameharibu biashara ya korosho mpaka mapato ya taifa ya mazao ya kilimo yameshuka kwa asilimia 55.Mkuu nadhani umeusahau ule msemo usemao nabii hakubaliki kwao. Ukiukumbuka wala hautatumia nguvu nyingi kumueleze JPM.