How Magufuli transforms Tanzania, African politics

Sio wewe uliyesema JPM alikuuzia nyumba? Sasa leo unasema unafuata principle kwa nini huendi kumshauri rafiki yako kama ni kweli? Nafahamu hapo unajibinafsi tu huna lolote. Wivu tu unakusumbua.
Hujathibitisha nina chuki binafsi.

Hujathibitisha serikali iliuza korosho nje.

Hujakanusha kwamba serikali imetuingiza katika hasara kubwa kwa kuingilia biashara ya korosho.

Hujakanusha kwamba mauzo ya mazao ya kilimo yameanguka kwa zaidi ya nusu ya mapato kwa mwaka mmoja uliopita, kwa asilimia 55.

Hujatuonesha mkakati wa serikali kujihimu kukabiliana na muanguko huu.

Benki Kuu ya Tanzania yenyewe imetuambia habari hizi.

Unamtetea JPM kwa mahaba tu, wakati data zinaonesha anaangusha exports za kilimo.
 
Hujathibitisha nina chuki binafsi.

Hujathibitisha serikali iliuza korosho nje.

Hujakanusha kwamba serikali imetuingiza katika hasara kubwa kwa kuingikia biashara ya korosho.

Hujakanusha kwamba nauzo ya mazao ya kilimo yameangukwa kwa zaidi ya nusu ya mapato kwa mwaka mmoja uliopita, kwa asilimia 55.

Hujatuinesha mkakati wa serikali kujihimu kukabiliana na muanguko huu.

Umepewa link korosho zilizouzwa hutaki kuifuata, hakuna hasara yoyote iliyotokea kwa sababu Serikali ilifanya kilichokusudiwa. Figures za BOT zimeonyesha sababu za kushuka kwa pato la mazao hususan karafuu na ukosefu wa mvua kwenye maeneo mengi, hilo sio tatizo la JPM. Nimesema sisi tutakuburuza wewe upende usipende huwezi kuchelewesha maendeleo ya Watanzania walio wengi. Utetezi wangu kwa JPM ni kutokana na kazi anayoifanya ya kuleta maendeleo ya kweli kwa Watanzania wakati wewe muongo wa kutupwa unapotosha hapa asubuhi,mchana jioni na usiku ndio sababu ni kasema hizo ni chuki zako binafsi.
 
Mkuu Kiranga ,achana na ubishani na watu ambao unawajua mrengo wao.
Tafadhali.

Hata na mimi naona kubushana na watu wenye mahaba na wasioqngalia facts ni shida tu.

Mauzo ya mazao ya kilimo yameanguka kwa 55%. Hizo ni ripoti za BOT, wala si za The Economist waseme "mabeberu hao" kama kawaida yao.

I meannit is not 10%, not 20%, not 30% not 40, not even 50%, but 55%, according to offocial reports, that means it could be more.

Over one freaking year!

Halafu watu wanatetea serikali hii?
 
Umepewa link korosho zilizouzwa hutaki kuifuata, hakuna hasara yoyote iliyotokea kwa sababu Serikali ilifanya kilichokusudiwa. Figures za BOT zimeonyesha sababu za kushuka kwa pato la mazao hususan karafuu na ukosefu wa mvua kwenye maeneo mengi, hilo sio tatizo la JPM. Nimesema sisi tutakuburuza wewe upende usipende huwezi kuchelewesha maendeleo ya Watanzania walio wengi. Utetezi wangu kwa JPM ni kutokana na kazi anayoifanya ya kuleta maendeleo ya kweli kwa Watanzania wakati wewe muongo wa kutupwa unapotosha hapa asubuhi,mchana jioni na usiku ndio sababu ni kasema hizo ni chuki zako binafsi.
Link mtu kaweka bandiko JF tu, hakuna source wala official government communique.

Hata mimi naweza kuandika kitu nikapost JF hapa, utahakiki vipi hiyo habari ni kweli na si propaganda tu?

Unasema link sitaki kuifuata wakati nishaifuata na ku comment huko kwenye link.

You can't be serious, I have to take you for a joke.
 
Na Rais Magufuli tutampa Nobel Prize kwa Kupambana na Ufisadi hapa Tanzania
Nobel ya amani kwa sababu walikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe, walikuwa na vita na Eritrea, wana vita na El shabab. Huyo waziri alikuja kupatana na hao maadui. Sasa sisi huku hatuna vita na mtu yeyote raisi wetu apewe ni shani hiyo kweli?
 
Link mtu kaweka bandiko JF tu, hakuna source wala official government communique.

Hata mimi naweza kuandika kitu nikapost JF hapa, utahakiki vipi hiyo habari ni kweli na si propaganda tu?

Unasema link sitaki kuifuata wakati nishaifuata na ku comment huko kwenye link.

You can't be serious, I have to take you for a joke.

Ujuha unakuzuzua, Serikali ya Tanzania ifanye biashara wakufuate wewe Kiranga huko unakokaa madongo kwinama waje wakwambie wameuzaje korosho ili iwe nini? That is why nimekwambia tutakuburuza wewe hata na kamba usicheleweshe maendeleo ya Watanzania. Hiyo 55% umekariri, unaweza kukosa mazao 100% kama hakuna mvua nk ndio sababu Serikali hii inachukua hatua za makusudi kuona inaboresha nyanja zote hata kama mvua hainyeshi ni lazima sasa kuwa na mabwawa kwa irrigation nk. Kutatua matatizo sugu ya umeme, usafiri nk wewe Kiranga kalaga baho wenzio tunasonga mbele chini ya uongozi wa JPM.

Nani kakwambia nataka serikali ya Tanzania inifuate ninapokaa?

Why are you wandering off topic?

Hicho ki link chako hakifunguki. Unajaribu kunionesha nini?
 
Hutakiwi kumpima rais kwa kigezo kimoja tu, na pia hutakiwi kuacha kumpima rais kwa kigezo hata kimoja.

Kwenye korosho ali fail vibaya na hakukuwa na haja yoyote ya failure hiyo, imeigharimu nchi mamia ya mamilioni ya dola.

Kwa sababu ya ushamba wa Magufuli tu.

Jinyonge
 
  • Thanks
Reactions: Dua
Back
Top Bottom