How Magufuli transforms Tanzania, African politics

Gazeti lenyewe ni Daily Noise. Mwandishi Darius Mukiza. Sounds kama Mrundi au Mnyarwanda anayejipendekeza big time.
Nonsense kabisa
 
Praise team at work! Vipi mbona wananchi wengi hawataki kujiandikisha ili mshinde kwa kishindo? Mapambio na porojo zote hizi bado hazisaidii tu!!
 
Kwa sasa dunia nzima ikizungumza uongozi bora Afrika inamuangalia Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia, mshindi wa nishani ya Nobel ya Amani ya mwaka huu.

Ukisema Magufuli duniani huku wanakuuliza "Magu who?".
 
Hiyo dunia itakuwa ya kusadidika maana tunaona ambavyo wamejikita kwenye misinformation na propaganda about JPM na Tanzania kwa ujumla. BTW the media moguls who runs this world have not left us alone. JPM kawaambia sihitaji fedha zenu kwa masharti yenu magumu, kwamba pesa tunazo wenyewe kufanya maendeleo yetu, wamebaki kuduwaa. FYI all media moguls are following every word and coma from JPM maana wanafahamu what is coming next. For those mediocre ones, they will know very soon who is JPM.
 
Huhitaji propaganda kum discredit JPM.

Huhitaji propaganda kum discredit mtu mzima anayejikojolea na kujinyea hadharani.

Watu wanaoona mabaya mengi ya JPM si watu wa nje tu.

Watanzania wengi tu tunaona hilo, sasa na sisi tunafanya propaganda?

Umeona data mpya za Bank of Tanzania kuhusu exports za agriculture zilivyoshuka, si kushuka tu, zilivyoporomoka, kutokana na serikali kuingilia biashara ya korosho?

Bank of Tanzania nao wanafanya propaganda against JPM?
 
Wewe pamoja na vikaragosi wenzio ndio mnaona mmenyang'anywa tonge mdomoni kwa sababu mlikuwa mnawadhulumu WTZ walio wengi haki yao. Kuna survey za hivi karibuni WTZ majority wanam-support JPM.

Wakulima wa korosho wote walipata bei nzuri kuliko ya maharamia na walanguzi wa korosho.

BOT wanatoa data kutokana na uchumi unavyokua, Tshillings imetengemaa hivi sasa kutokana na sera nzuri za maendeleo kwa Tanzania, ndio sababu WB, ADB etc wana-support juhudi na uongozi wa JPM. Kama wewe na kundi lako hamuwezi kuliona hilo inabidi mwende mkapime macho yenu huenda mkawa na makengeza. BTW you are minority.
 
Kwa sasa dunia nzima ikizungumza uongozi bora Afrika inamuangalia Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia, mshindi wa nishani ya Nobel ya Amani ya mwaka huu.

Ukisema Magufuli duniani huku wanakuuliza "Magu who?".
Unamjibu the petty dictator from East Africa, watakuelewa tuu
 
Lugha ya kiingereza ni rahisi sana kama unaimanya lakini wengi wanataka kutuaminisha kwamba wanafahamu maana ya dictator.
 
Wewe pamoja na vikaragosi wenzio ndio mnaona mmenyang'anywa tonge mdomoni kwa sababu mlikuwa mnawadhulumu WTZ walio wengi haki yao. Kuna survey za hivi karibuni WTZ majority wanam-support JPM.

Wakulima wa korosho wote walipata bei nzuri kuliko ya maharamia na walanguzi wa korosho.

BOT wanatoa data kutokana na uchumi unavyokua, Tshillings imetengemaa hivi sasa kutokana na sera nzuri za maendeleo kwa Tanzania, ndio sababu WB, ADB etc wana-support juhudi na uongozi wa JPM. Kama wewe na kundi lako hamuwezi kuliona hilo inabidi mwende mkapime macho yenu huenda mkawa na makengeza. BTW you are minority.
Umeshindwa hoja, unaleta viroja.

I will let The Citizen and Bank of Tanzania data speak for me..

Mauzo ya nje ya mazao ya kilimo yameanguka kwa zaidi ya nusu nzima ndani ya mwaka mmoja.

Poromoko la zaidi ya nusu nzima, ndani ya mwaka mmoja.

Hizo ni data za Bank of Tanzania.

Dar es Salaam. Tanzania’s agricultural export earnings have slumped by over a half in a year, which however saw gold earnings rising 25 per cent.

The 55 per cent drop which decelerated the traditional export earnings to $508.8m (Sh1.17tr) in the year to August 2019, was caused by a fall of either prices or volumes of the produce, including cashew nuts, cloves, tobacco and sisal, according to the latest monthly economic review of the Bank of Tanzania (BoT).

It was only coffee that saw increased volume due to good weather during harvest season.

Tourism is Tanzania’s leading foreign exchange earner with an annual average income of $2.3bn (Sh5.29tr) per year, followed by gold, transport services and manufactured goods.

Traditional exports – composed of agricultural produce – are now ranked fifth after dropping from $1.1bn (Sh2.53tr) in August 2018 to $508.8m (Sh1.17tr) this year
 
Obviously people like you want us to believe that the export of agricultural products has slumped to almost half in a monthly bulletin produced by BOT. That is false and ridiculous. The writer (Masari Alawi) failed to give the reasons for such a drastic fall and ended up fabricating the story to suit his narrative.

You cannot seriously claim a fall of more than 40% without producing reasons for that fall and just assume it was either fall of volumes or prices. Bring the reasons for that fall if you wish and not assume to be prices or volume. I would presume such a writer to be more specific and be investigative to give a clearer picture than standing on the fence, to make matters worse some idiots who do not know how to interpret join in a bandwagon that we lost exports of that magnitude. If that was the case then the economy of this country would have collapsed within days. It is a well known fact that tourism is the leader in injecting foreign exchange for quite a long time now followed by gold/other minerals etc. I urge you to bring the correct data produced by the Government to show the exact figures rather than depending on the Kenyan paper propaganda.

BTW BOT did not give any figures and their narrative was the 25% increase in gold sales, then the writer added his own story which cannot be verified. BOT gave monthly overview of gold sales, if you are minded bring the BOT actual bulletin, also bring figures for export volumes from Tanzania for last year and for this year to compare.
 
Wewe pamoja na vikaragosi wenzio ndio mnaona mmenyang'anywa tonge mdomoni kwa sababu mlikuwa mnawadhulumu WTZ walio wengi haki yao. Kuna survey za hivi karibuni WTZ majority wanam-support JPM.

Wakulima wa korosho wote walipata bei nzuri kuliko ya maharamia na walanguzi wa korosho.

BOT wanatoa data kutokana na uchumi unavyokua, Tshillings imetengemaa hivi sasa kutokana na sera nzuri za maendeleo kwa Tanzania, ndio sababu WB, ADB etc wana-support juhudi na uongozi wa JPM. Kama wewe na kundi lako hamuwezi kuliona hilo inabidi mwende mkapime macho yenu huenda mkawa na makengeza. BTW you are minority.
Mkuu nadhani umeusahau ule msemo usemao nabii hakubaliki kwao. Ukiukumbuka wala hautatumia nguvu nyingi kumueleze JPM.
 
Obviously people like you want us to believe that the export of agricultural products has slumped to almost half in a monthly bulletin produced by BOT. That is false and ridiculous. The writer (A Masari Malawi) failed to give the reasons for such a drastic fall and ended up fabricating the story to suit his narrative.

You cannot seriously claim a fall of more than 40% without producing reasons for that fall and just assume it was either fall of volumes or prices. Bring the reasons for that fall if you wish and not assume to be prices or volume. I would presume such a writer to be more specific and be investigative to give a clearer picture than standing on the fence, to make matters worse some idiots who do not know how to interpret join in a bandwagon that we lost exports of that magnitude. If that was the case then the economy of this country would have collapsed within days. It is a well known fact that tourism is the leader in injecting foreign exchange for quite a long time now followed by gold/other minerals etc. I urge you to bring the correct data produced by the Government to show the exact figures rather than depending on the Kenyan paper propaganda.

BTW BOT did not give any figures and their narrative was the 25% increase in gold sales, then the writer added his own story which cannot be verified. BOT gave monthly overview of gold sales, if you are minded bring the BOT actual bulletin, also bring figures for export volumes from Tanzania for last year and for this year to compare.
Uzuri au ubaya wangu ni kwamba sikatai challenge. Umekatta drop ya 55% ya exports, ripoti ya BOT yenyewe, si muandishi wa habari, imeonesha hilo.

Sababu ya hii drop kwa kiasi kikubwa ni Magufuli kuingilia biashara ya korosho.Tanzania tuna nafasi ya kupata bei nzuri ya korosho, kwa sababu mavuno yetu yanaanza mwanzo kabisa, lakini, kwa sababu ya ujuaji wa kijinga wa Magufuli, tuliikosa nafasi hii mwaka jana. Hii ndiyo sababu kubwa ya hiyo drop. Korosho ndio zao la kwanza kwa kuingiza hela nchini, na Magufuli kaharibu soko mpaka serikali imejuta kufanya hilo.Tumemsikia Bashe anasema serikali haitajiingiza katika biashara ya korosho mwaka huu.

The reporter prettu much reproduced the BOT report.

Page 10f

The value of traditional goods exports fell by 55.0 percent year-on-year to USD 508.8 million in the year ending August 2019. The value of all traditional goods exports declined save for coffee. The value of coffee exports rose on account of increase in volume following good weather during the crop season, while that of cashew nuts declined due to fall in both volume and unit prices in the world market. The value of cloves, tobacco and sisal export decreased on account of volume, while that of tea was driven by price in the world market. Cloves did not perform well due to the cyclical nature of the crop. The value of traditional goods exports is expected to improve partly due to various initiatives to improve value addition and marketing.
 
Mkuu nadhani umeusahau ule msemo usemao nabii hakubaliki kwao. Ukiukumbuka wala hautatumia nguvu nyingi kumueleze JPM.
Magufuli ameharibu biashara ya korosho mpaka mapato ya taifa ya mazao ya kilimo yameshuka kwa asilimia 55.

Huu ndio unabii unaotaka kuukubali?
 
JK aliishia kuwachekea na kuwaita mchwa jamaa wa halmashauri waliokuwa wanakula pesa ya serikali, JPM anashughulika nao vilivyo.

Hizi zahanati na mahospitali yanayojengwa kila mahali nchini kwa sasa kama sio nidhamu nzuri ya matumizi ingekuwa ni ndoto kuona kinachofanyika.

Bandari zinapanuliwa, viwanja vya ndege vinajengwa, rada nne zinaanza kuimarisha uonaji wa nchi nzima kiulinzi na mapato yanakwenda kuongezeka.

JPM afanye kazi awezavyo wenye shukrani watakuja kuheshimu na kutambua ukubwa wa kazi anayoifanya.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom