How long to wait?...

me nimeambiwa mpaka miaka miwili iishe alafu ananichomoa mapene ile mbaya. simuelewi kabisa huyu demu

Unajua kuna khanga zingine zina ujumbe mzuri sana...moja iliwahi kusomeka..''Babu jinga kaa ufikirie mali yako inaliwa''!! :)
 
Afu wewe mbona hujibu PM zangu. Niko siriaz ujue?

Nani kasikia? watu wameshapona na mila wameshadumisha we ndo unaulizia hali saa hizi?

hahaaaa jamani nani kanionea hii phrase??
 
Lunch ya leo naifata kabisa "al Nyantare" pale wana mbuzi safi sana halafu ni along ze way to Mkuranga binamu! najua hapo unado ze nidiful

wapi Pearl?
mbona umeanza kuharibu lunch yangu?
 
Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili?
Inategemea experience ya kila mmoja uko alikotoka, wengine hata three days are enough to strart but others even a year!!! Mawazo yangu muda mrefu zaidi ni muhimu kwa afya yako
 
am sore jamani nimerudi was busy na waandishi ah
Lunch ya leo naifata kabisa "al Nyantare" pale wana mbuzi safi sana halafu ni along ze way to Mkuranga binamu! najua hapo unado ze nidiful

wapi Pearl?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom