nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 937
Likiamkia church??Me kila dushe linapoamka lazima lizimwe muda huo it doesnt matter nko wapi.
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Naunga Mkono hoja iwe Mara 4 kwa week bas Ila weekend tunamaliza Game 3hours [emoji23][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]Mje tujadili hili, maana wengine wanalifanya ni jambo kama marathon.
Straight to the point, In my opinion:
Monday to Friday:
Choose any three days(consecutive or not), and do it either in the evening, deep night or in the morning. Do it at least for 40 minutes. This includes foreplay and everything.
Saturday and Sunday:
Hapa ukichagua siku moja kati ya hizo, na iwe mchana, ama usiku mnene na ifanyike kwa muda usiopungua masaa 3.
Kwa ujumla unakuwa na siku zako 4 a week na mapenzi yanakuwa motomoto. Hii haikuzuii kuwa na vile vya faster mara unapomkuta mwenzio kakaa kimtego ama vile vya kupasha kidogo asubuhi ama baada ya lunch.
Jamani, wadada na wakaka tujitume na tuache kula vyakula visivyo na tija.
Wewe utakuwa Muhindi nn? Maana wahindi wakati wa mchana ndio muda wao kufanya mapenziBinafsi napenda sana sex ya mchana.Sijui ni kwa sababu nazipata za kuvizia vizia[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Shikamoo mhengaAmkia wakubwa zako humu. Wengine sisi ni Jumapili WAHENGA
Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Mtoa mada ajue kuna mwanaume mwingine ni mtamu balaaaMtoa mada anatakiwa ajue hakuna formula when the sex is good...
Like why on earth should i have a sex schedule with you love... Vile how sweet you are...
Love you sana...
Mtoa mada anatakiwa ajue hakuna formula when the sex is good...
Like why on earth should i have a sex schedule with you love... Vile how sweet you are...
Love you sana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengine hakuna cha siku wala nini....tukishiba tu, ashki zinakuja.