kwa wote ambao hamkunielewa, nimesema for as long as neccessary nikimaanisha kuwa, mimi kama mke wa mtu, naweza kukaa bila hiyo kitu kwa muda wote ambao my dia hubby hayupo karibu na mimi, be it i week, one month, one year and even ten to 20 years. Na pia kwa wakati wote ambao nadhani haiwezekani kufanya hivyo kwa sababu ambazo haziwezi kuzuilika. sasa mmeelewa? hivi walimu wenu walikuwa wanalipwa kiasi gani kwa kufundisha watotro wazito hivi?
haya majibu hayapo clear,kwa sababu:
KITAALAMU THERE IS A LIMIT TO EVERYTHING!mrusha mada anataka kujua zile MAXIMUM BENDING STRESSES/TENSIONS NA MOMENTS BEYOND WHICH UVUMILIVU WA MTU MMOJA MMOJA HAUTAWEZEKANA!
naomba sana TENA SANA tuwe wakweli kwenye hili!sikatai watu wanaweza kuvumilia,lakini KUNA LIMIT BEYOND WHICH YOU CANNOT VUMILIA AGAIN
ndo maana nimempenda charity alivyosema ten years
we unaijua elasticity tu?dah....mbona umegeneralise KITAALAM hivyo mpwa? hata wenye law zao walikuwa wanaspecify ni 'material' ya namna gani.....elasticity hiyo....
Kwi, kwi kwi............ kaizernaona thread hii ina washabiki mpaka mapadri nawaona huku....
SAWA KABISA!we unaijua elasticity tu?
hiyo sheria inaaply hadi unapokunja chuma,unapovunja ubao,HATA UNAPODUMISHA MILA!
Kabla sijampata mzenj nilikuwa nimekaa miaka 9 bila kufanya mapenzi wala kupiga nguga![/QUOTE]
ndo nini!
hii law hadi kwenye ndoa!ukikosana na mkeo/mumeo...KUNA LIMITS UTAZISET UNAPOMTAKA RADHI!YOU CANNOT APOLOGISE KWA KOSA LA KUCHELEWA KURUDI HOME SIKU MOJA TU FOR TEN YEARS!neverSAWA KABISA!
Naona muda si mrefu utaanza kuweka ma-assumptions na ma-neglections.......😀😀
Kabla sijampata mzenj nilikuwa nimekaa miaka 9 bila kufanya mapenzi wala kupiga nguga!
we unaijua elasticity tu?
hiyo sheria inaaply hadi unapokunja chuma,unapovunja ubao,HATA UNAPOKULA CHAKULA
hii law hadi kwenye ndoa!ukikosana na mkeo/mumeo...KUNA LIMITS UTAZISET UNAPOMTAKA RADHI!YOU CANNOT APOLOGISE KWA KOSA LA KUCHELEWA KURUDI HOME SIKU MOJA TU FOR TEN YEARS!never
wewe mtoto!, hatari hiyo.........................., mmmmmmmmmmmmmmhukiwaza unaitaka itabidi upate maana mawazo kuyazui ni mpaka nafsi iamue,but for me I can stay longer s long as nina mambo meeeeeeengi ya kufanya n pia sijabariki hilo tendo lenyewe,but likiwa limebarikiwa mmh dia I shoul;d get it as much as posible n as long has haiumwi.
kazi ipoHehehe! Mi ni kinyume chake. Huwa naapolojaizi nikiwahi kurudi. Sikumbuki siku niliyowahi kurudi. Naishukuru sana SHADES OF SIN. Angalau sasa Saa nnne kasorobo natia timu home.
Afu leo kale kabatani ketu dah!!!. Yani mayuziful posti huyaoni au?kazi ipo