ok, nimekusoma............ulisap sio?nilikaa kwa 27 years bila ya kugusa wala kuchungulia uvungu wa kike halafu huo moto nilioanza nao haukuwa haba kiasi nilikuwa najihurumia kwa ubazazi uliokithiri, imagine si chini ya three gals kwa siku. ila baada ya kuoa nimeamua kumfanyia ubazazi mke wangu pekee na nimepunguza speed.
wife amejifungua mtoto kwa upasuaji five months ago na niliacha kumgusa tangu mimba ikiwa na miezi 4 piga hesabu how long man can last without peehole.
umewasoma eeh!huwa wanajifanya hawapendi,
mbona waliaga wakipewa?
ukiwaza unaitaka itabidi upate maana mawazo kuyazui ni mpaka nafsi iamue,but for me I can stay longer s long as nina mambo meeeeeeengi ya kufanya n pia sijabariki hilo tendo lenyewe,but likiwa limebarikiwa mmh dia I shoul;d get it as much as posible n as long has haiumwi.
It depends on your IQ
Liar!
Kwa kipindi hiki SAWA KABISA. Si ulianza rasmi kihalali juzijuzi tu (13/02 - I witnessed the aggreement)
Liar!
Be Specific. Acha longo longo!
We ndio maana unaitwa. Soma hapo chini!
Hiii kitu tunaipenda sana,
kwa wenye ndoa na wasio na ndoa.
Je wewe unahimili kukaa muda gani bila kupata ile kitu roho inapenda?
He! Bakora mbona anayo yeye? Angalia usijechapwa wewe!G unataka nn jamani?au unatafuta bakora w uchapwe?ntakuchapa mm
Mtachapana au utamchapa?π±π±hehehe!tutachapana aisee
He! Yamekuwa hayo? Haya bana ngoja niachane nalo. Endeleeni na lojistix!hili we achana naloππ
Good answer, ila ngoja tu watakuja kukwambia hapa u - explain.as long as am supposed to last without it!!!
reallyok, nimekusoma............ulisap sio?
Good answer, ila ngoja tu watakuja kukwambia hapa u - explain.
ukiwa unasabstantiate hivi UNAELEWEKA!ππkwa wote ambao hamkunielewa, nimesema for as long as neccessary nikimaanisha kuwa, mimi kama mke wa mtu, naweza kukaa bila hiyo kitu kwa muda wote ambao my dia hubby hayupo karibu na mimi, be it i week, one month, one year and even ten to 20 years. Na pia kwa wakati wote ambao nadhani haiwezekani kufanya hivyo kwa sababu ambazo haziwezi kuzuilika. sasa mmeelewa? hivi walimu wenu walikuwa wanalipwa kiasi gani kwa kufundisha watotro wazito hivi?
nimeoa three years ago. ulikuwa umeshazaliwa?
Ukiamua kuuamrisha mwili wako utakutii ukimaanisha.
Nimekupata wangu coz nilistuka kidogo, ha ha ha........... Raha ile c ya kukosa atiiiiiiiibeen ze n done zat dia but now want thing in an organized way,hope nimesomeka
hahahaha wazimu kweli wewe.......... sasa mmeelewa? hivi walimu wenu walikuwa wanalipwa kiasi gani kwa kufundisha watotro wazito hivi?
Aaah maswali gani haya? Kila Mama Matesha anapokuwa available na anahitaji huduma yangu anapewa haki yake. Kama asipokuwa availabo kwa siku mbili, Mungu nilishamwomba anisamehe dhambi ntakayoitenda.na wewe x-pin?
Tayari Mamushka!biggy huyo hapo juu mbona hujakomenti?????????????????????????????????????
as long as it is neccesary
as long as am supposed to last without it!!!
nimeipenda hiyo...!UMESET LIMITS AMBAZO NI CLEAR KABISAAaah maswali gani haya? Kila Mama Matesha anapokuwa available na anahitaji huduma yangu anapewa haki yake. Kama asipokuwa availabo kwa siku mbili, Mungu nilishamwomba anisamehe dhambi ntakayoitenda.
Tayari Mamushka!
NIMEIPENDA SANA HIYO GREAT THINKER!tatizo watu wanataka kujustfy uongo...!ILE KITU HATARImimi nahimili masaa tisa tu bila ngono , tena masaa hayo ni yale ya katikati ya wiki, weekend yanashuka zaidi,, aah ile kitu waacha kabisa.
Nimeweka ten years lakini sio ten years halisi.Nilitaka kuonyesha kuwa inawezekana Kusubiri kwa long term zaidi ya miaka 10.
Kwa hiyo is not a must after 10 yrs.