HOW I LEARNED TO MIND MY OWN BUSINESS.

roja24

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Messages
609
Points
500

roja24

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2012
609 500
Habari wana Jamvi. Kichwa cha habari chajieleza. Sikh moja mshkaji alihamia MAENEO flan kikazi . akawa anatoka nyumban anatembea mpaka kazin kwake , na kurudi kama kawaida . sasa siku1 akawa anapita njia hiyo njia pemben kuna kitu kama SHULE lakini ilikuwa imezunguzlshiwa uzio mrefu wa tofali . na kunasauti inatoka ikisema "*52, 52, 52, 52,"* !!!! Akapita zake wakati anarudi akasikia tena "*SAUTI IKIENDELEA KUHESABU 53!! 53!! 53!! 53!! 53 !! akapitazake kurudi nyumbani, Siku iliyofuata akapita tena akasikia sauti kutoka kwa ndan maeneo Yale Yale ikihesabu kwa nguvu 54, 54, 54, 54, hakujali akaenda kazin alipokuwa anarudi nyumbn akasikia tena 59, 59, 59, AKASEMA NGOJA NISOGEE NIANGALIE KUNANINI MPAKA HAO WALIOPO NDANI WANAHESABU KILA SIKU, sasa katika ukuta kulikuwa na kitundu kidooogo ambacho watu walitoboa ili waweze kuchungulia! SASA BWANA ILE ANASOGEZA JICHO TUU AKACHOMWA NA KIJITI CHA chelewa/sijui ilikuwa Spock ya baiskeli sijui! MARA NDANI WIMBO UKABADILIKA UKAWA 60! 60 ! 60! . kimsingi ile ilikuwa ni SHULE ya vichaa na walikuwa wakihesabu namba ambazo ni idadi ya watu waliowachungulia na kuchomwa na kijiti kwa sababu HAWAJALI MAMBO YAO BALI NI KUTAKA KUJUA MAMBO YA WATU. Tangu pale hata Mimi na wewe nakuomba tujifunze KU MIND OUR OWN BUSINESS. Naomba kuwasilisha
 
mandela1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2013
Messages
617
Points
500

mandela1

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2013
617 500

🤣🤣🤣
 
Thread starter Similar threads Forum Replies Date
marcus rojo Jokes/Utani + Udaku/Gossips 4
Salamander Jokes/Utani + Udaku/Gossips 0

Forum statistics

Threads 1,382,064
Members 526,267
Posts 33,818,730
Top