Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,261
Nakuhakikishia wewe ndo hujui chochote, kama ungekua unajua chochote ungenijibu kwa facts huna tofaut na mpiga debeKijana wewe ni mchanga sana kwenye hili swala.
Mungu amewapa ruhusa ya watu kama nyingi kumkataa, na kama unafikiri utamjua Mungu kwa akili za kibinadamu utasubiri sanamaswala ya mungu ni chai tu hana lolote
tunatakiwa kumjua MUNGU kwa akili zipi chief?Mungu amewapa ruhusa ya watu kama nyingi kumkataa, na kama unafikiri utamjua Mungu kwa akili za kibinadamu utasubiri sana
...mkuu upo ?....longtime kimyaMungu Yupi?Tuweke sawa
Kuna imani nyingi na Kila imani ina Miungu wake
Ni Jehovah, Allah, Krishna,Vishnu,Osiris,Mars au Yupi?
Bwana dennis_robert tunatakiwa tuwe na akili za mnyama yupi ili tumjue Mungu?Mungu amewapa ruhusa ya watu kama nyingi kumkataa, na kama unafikiri utamjua Mungu kwa akili za kibinadamu utasubiri sana
Aliekosea ni adamu Kwa sababu Mungu alikua ameumba mti wa uzima na ubaya, maanaa yake mti wa uzima na ubaya in mfumo wa shetan, Na mti wa uzima in mfumo wa mungu lakin Adam akachagua mfumo wa shetani, ndo kosa alilolifanya adamuNimekuwa nikijuliza, Mungu hujua yaliyopita,yaliyopo na yajayo, maana yake kila kitu kinachoendelea yeye alikijua kabla.
Maswali yangu, ilikuwaje alimuumba Shetani ambaye alijua atamsaliti, aliumba Mwanadamu akijua atakula lile tunda, Je kwa mantiki hiyo Mungu alitengeneza Jehanamu akijua Atamuweka binadamu maana alikuwa na uweza wa kutomuumba shetani hapo kabla na pia kuepusha Mwanadamu kula lile tunda, au pengine asingeupanda ule mti kabisa.
Ilikuwaje asiepushe haya yote toka anaanza uumbaji wake ili Jehanam iepukike, au asingeitengeneza Jehanamu kwa kuifanya Mbingu na dunia kuwa free from Sin!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo aliochagua Adam ndo umeleta vurugu zote hizi tunazozionaIf God is perfection kwanini ameumba viumbe ambao ni imperfection
iPhone 7plus
Swali, ina màana Mungu hakujua kuwa Adam na Hawa watakula tunda!?Aliekosea ni adamu Kwa sababu Mungu alikua ameumba mti wa uzima na ubaya, maanaa yake mti wa uzima na ubaya in mfumo wa shetan, Na mti wa uzima in mfumo wa mungu lakin Adam akachagua mfumo wa shetani, ndo kosa alilolifanya adamu
Na pia kumbuka shetan Tayar alikuwa ameshahukumiwa baada ya jaribio lake LA mapinduz kufeli
Ule mti wa uzima na ubaya ni ishara shetan yupo na anamfumo wake wa maisha uko mnapoenda dunianiSwali, ina màana Mungu hakujua kuwa Adam na Hawa watakula tunda!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipenda hii postHakuna binadamu anayefikia u-smart alionao Mungu, kwanza kabisa Mungu hawezi vunja sheria aliyojiwekea tofaut na mwanadamu, pili Mungu sio muongeaji ongeaji hovyo, huwa ana maneno machache Kwa sababu kila neno lake ni sheria.
Watu wengi tumekua tukijiuliza Kwa nin Mungu aliruhusu shetani amdanganye hawa, jibu ni kwamba Mungu alimpa mwanadamu option mbili ya kumkata au kumkubali, bahati mbaya Adam akamkataa Mungu, na Mungu bila hiana akakubaliana na adamu kwa-sababu angeingilia angevunja sheria aliyojiweka yeye. Na shetan anamjua Mungu Kwa sababu ameshakaa naye ndo maana alijiamini alivyomfuata hawa.
Ndo maana hata wanadamu wanamtukana Mungu na haingilii, jibu ni kwamba hawez kukulazimisha umtumikie/umfuate, yaan wanafamu tuna Uhuru wa kumkataa Mungu, ndo maana ni Hatar sana kulazimisha watu kumfuata Mungu.
Mungu hawez kuja kuishi duniani Kwa sababu in roho (spirit), ili uishi duniani lazima uwe na mwili (dead body), ndo maana hata majini lazima yamwingilie MTU yaishi ndani yake Kwa sababu ili uishi dunian ni lazima uwe na mwili.
Shetani ilimbidi amuombe nyoka mwili ili autumie mwili wake kumdanganya Adam na hawa Kwa sababu na yeye ni roho
Hata binadamu akifa kinachokufa ni mwili na sio roho, ndo maana baada ya kufa roho haiwez ishi duniani Kwa sababu ni illegal Kwa roho kuish duniani, kwa hy lazima iondoke, ndo maana Mungu alimtuma YESU aje na mwili wa binadamu ili atimize lengo lake.
Ndo maana dhana nzima ya maombi ikaja, Kwa sababu ukitaka kitu lazima umuombe Mungu Kwa sababu ana uhakika unataka jambo fulani au hulitaki, Kwa sababu kabla ya mwanadamu kuasi kulikua na fellowship na sio maombi.
Malaika waliuliza kwa mungu kwamba mbona unamuweka kiumbe mwengine ambae atakuja kukuasi/kufanya ufisadi/kula hilo tunda/ e.t.cSwali, ina màana Mungu hakujua kuwa Adam na Hawa watakula tunda!?
Sent using Jamii Forums mobile app