How Excessive Partying back then affects my life today.

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
I had it all. Looks, money and charm. I was the kind of girl who walked into a room, be it a club or wherever and lit it up. Yes it was me. Parties I threw were never dull. Hahahaa. Ee bwana ilikuwa balaa. But kama wanavyosemaga wenyewe kila kitu kina mwisho wake. Mimi sasa hivi nimeacha bangi na pombe, namlea mwanangu na nipo kwenye ndoa. Ila sasa, athari za kukata mayi na kuvuta bangi ninazoziona sasa hivi ni kama hizi;
1. Upweke- hii hali huwa inanihuzunisha. Huwa najikuta for entertainment purposes I live in the past. Hii ni kwa sababu marafiki wengi walikuwa wa ulevini... Na kwa vile status yangu imebadilika its obvious that that was bound to change too. Tangu nimejifungua I feel so much better and my son's is my sunshine for these dull days..
2. Worry- huwa najikuta sina amani kabisa nikiwa karibu na alcohol. To the extent that sometimes huwa nakwaruzana na Mr. I worry too much kwamba nitavutiwa na harufu and nitakunywa tena and matokeo yake my little angel will suffer. Huwa nakosa raha mpaka sometime usingizi hauji. I drank alot. Lots of alcohol for a girl. Damn.
3. Kucheka weeee kama chizi- huwa inatokea tu nikakumbuka incident flani nitacheka mpaka nilie. Hii naona bwana itanifikisha pabaya kwa sababu ipo siku nilitupagwa selo nikacheka weee nikikumbuka selo nilotupwa siku nyingi kabla baada ya kubambwa na bange. Matokeo yake hela ilinitoka kishenzi sababu waliniona nina dharau. Maskini.
4. Nimenolewa na dunia.
hii hapa bwana inamaanisha kwamba I have been there, and done it all sina nisilojua so hamna uongo nisoufichua. I wish ujuaji ungepungua kidogo, kama kafala flani ila nisiwe ---- mazima.
5. So bwana nikiachiaga diaries zangu huwa ni kupunguza negative energy that I dont need anymore ili hii memory card huku kichwani ibaki na nafasi ya vitu vya msingi kama malezi na ndoa. Hahahahahahahhahaah. Oh God.
 
hahaaaa Karucee...una vitukoo???!!!ha ha ha haaa
 
Last edited by a moderator:
Karucee i wish nikuone siku moja.. :busu :hug:

hahahaha. Wi-Fi. The contents of my diaries na looks zangu ni vitu viwili tofauti sanaaaa. Lol.
 
hivi ule msemo wa usipofanya vitu hivyo ujanani utavifanya uzeeni, ni kweli????? Karucee can u help me out??,, im a middle aged man, around 26 years, na in my life mpaka leo, im not such fond of clubbing, partying, drinking too much, having affairs with diffrent galz,, na bata kama izo,, bia nakunywa but kiustaarabu,labda mbili on a sunday afternoon at hom,, do u think kwavile sipractise such issuez now, nikiwa mzee na family yangu, badala ya kuwaza malezi, ntawaza kufanya ivyo vitu? Ushauri tafadhali
 
You need to go deep in faith,kwa upande wangu its Cristian faith to wash & clean all bad memories na upweke,your life will be transformed completely !
 
Ha ha ha upo juu,, down to earth is what's your talking about..

Kweli ujana nao una raha zake,,, mi nimeshagombana sana na ndugu zangu enzi za Teenage za kutaka ni behave kama nipo 30's or 40's while I was 18,,, na waka salenda wenyewe..

Myself ni experienced drama boy, nimesharuka sana ukuta na kuruka debe mpaka kunakucha,, mzee wangu alishanitolea bunduki kwenye kikao cha familia akaahidi nikirudia nilichofanya nakula risasi... Ndugu wote kimyaaaa...( Usiulizi nilifanya nini ni balaa)

Shuleni ndo ilikuwa balaa, thanks to all class sikuwa kilaza,,,

Ila I can't hide that aliesababisha yote haya ni b mkubwa,, she loves me more than too much so nilipata access ya vitu vingi nikiwa mdogo so vikaleta kiburi na dharau,,,

All in all, we are grown up and leave the past by the past itself,,,

Ila hakuna nisichokijua kwa kweli... Kuna Aunt yangu aliniambia akipata watoto kama mimi wawili anakunywa sumu kabisa maana anajua lazima atakufa kwa presha kabla hata wiki haijaisha,,, maana mimi mmoja tu ilikuwa balaa
 

hahahaha. Hamna. Just be yourself. You are who you are.
 
You need to go deep in faith,kwa upande wangu its Cristian faith to wash & clean all bad memories na upweke,your life will be transformed completely !

thanks mkuu. But I do not have bad memories or regret. And I do not need transformation.
 
Pole, you are doing good.
Umeacha maisha ya kujirusha lini? Una muda gani tangu uache pombe na bange?
 
Safi sana Karucee kama havijakuletea serious effect n nimependa maana unabadilika kulingana na nyakati
 
Last edited by a moderator:
I was like that ila sasa hivi duh yaani sipendi ku party wala kwenda kwa watu.Nakunywa Vodka though
 
For this matter, i am still a toddler.
 
Pole, you are doing good.
Umeacha maisha ya kujirusha lini? Una muda gani tangu uache pombe na bange?

since Jan 2012. Kongosho I could not sleep for a single night without drinking. Na sio one or two drinks, no. Sikuwa na hiyo control. Ni kunywa kabisaaa. Ila namshukuru Mungu sijawahi ku blackout or lose my mind.
 

hahaha. MKATA KIU wanao utawaambia nini?
 
Last edited by a moderator:
Karucee my dear umerusha tena kitu cha down lane memory...lolz
Siku zote waswahili husema 'nguvu kitu cha kwisha' na 'muda unaongea'...thank God umeyaacha mapema.
Kwa watoto wa kiume wanapitia mengi sana kiasi kwamba wadada wakiyapitia haya huacha 'kovu' kubwa sana kwao..
wasiwasi wangu ni kitu cha 'ndumu'...i guess mbele ya safari waweza omba tena puff!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…