frakitosho
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 802
- 256
Wadau nimekuwa nikisikia habari za askari kuvaa bullet proof lakini sijui ni kwa jinsi gani huzuia risasi. Naomba kwa mwenye maujuzi anifahamishe.
Imetengenezwa na material isitopitisha risasi. Kuna bullet proof vests ambazo zinabeba vipande vya chuma na kuna ambazo zinatumia material kama ya kitambaa ambayo ina nguvu ya kuzuia risasi isipite.
Wadau nimekuwa nikisikia habari za askari kuvaa bullet proof lakini sijui ni kwa jinsi gani huzuia risasi. Naomba kwa mwenye maujuzi anifahamishe.
Inazuia isipenye ama inapindisha risasi kabla haijakupiga?
From all the documentaries I've watched in the past i can sum it up as follows. The basic concept of the bullet proof material (regardless ni vest ya kuvaa or windshield kwenye gari) is that they stop a bullet by absorbing all its energy in to the material, that's it. Assume hizi scenario mbili, mtu mmoja karuka kutoka ghorofani akatua sakafuni, mwingine karuka akatua lets say juu ya Mayai mengi(for visual purposes). Alietua sakafuni obviously ataumia cause nothing absolved his energy but his body, huku aliyetua juu ya mayai atakua safe ila mayai mengi yatavunjika maana most will take the energy he carried. Simple. So the vests are made of material capable of taking bullets energy, na unapoona lets say vioo vile vikizuia risasi vinacrack, that's good maana that shows zimechukua all its energy and transferred throughout itself (kama mayai yalivovunjika ili kukusimamisha). Although nakumbuka kuna some material (dragon skin wanaita i think,) risasi ikiingia yanaizunguka na kuicrash in between but generally the material is the one absorbing the bullets energy hence stopping it. Kuna show ilikua discovery called "Time warp" jamaa wana analyse vitu mbalimbali in our daily life on REALLY REALLY high speed cameras, episode 1 walikua wanashoot into different vests and explaining the working and stuff. I'm sure clips ziko YouTube, pretty cool show it was check it out.

Thanx for sharing knowledge mkuu.

Shukrani nyingi sana kiongozi
hivi izi zinatumika hapa bongo??