Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,255
- 2,978
Aaah!yashanitokea kitendo cha moyo kutaka chomoka kabxa,ila as time goes nkajajiona tu nlikuwa namtesekea bure,kwanz inatakiwa uanze kumuwaza negative kwa kile alichokuwa anakifanya,pili futa kumbukumbu zoote zinazohusiana nae,mfano #za sim,picha na hata wimbo alioshare na ww,sure nakuambia mwez hautaisha,utamsahau totally