How do you handle break up?

Kuachwa na mtu umpendae ni jambo la kawaida sana ila unachotakiwa kufanya kipindi cha break up .

1.pumzisha mwili wako hiii itakusaidia kutuliza hisia .

2.fanya mpango urudiane na girlfriend wako wa zamani kabla hujawa na huyu hii itakufanya kurudisha hisia zako nyuma zaidi kuponya hisia zako.

3.uwepo wa mpenzi wa zamani utakufanya utakufanya huyu wa sasa umuone boya utajiona ulifanya makosa makubwa kumuacha yeye ukawa na huyu

Hakika utaponaaaaa
 
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
mkuu hii dozi imekataa,
 
Kubaliana imeshatokea umeachwa, maumivu ni ya muda tu mwisho yatakwisha....fanya Mambo yatakayo kuweka bize.
 
Cry as much as you can

Keep yourself busy with work + personal duties.

Don't text/call her, ukiweza futa namba ila kama ulizikariri acha tu 😂

Siku ukimmiss text her, akijibu asipojbu we usijali as along as text yako atakuwa kaiona na akikublue tick ukaumia we lia tu then futa machozi lala.

But the best healer is TIME.
 
Green berets wana msemo wao " embrace the suck" . Furahia tabu. Japokuwa msemo huu wanautumia kwenye selection process ya vikosi vyao. In reality its realy works.
Find uzuri ktk breakup yako.. utaona ni mambo ya kawaida tu
 
Yuck, breakup really sucks.
Prove to yourself that you can do things and be happy without her.
Give yourself time to grieve the loss of the relationship.Throw out stuff which reminds you of her.

Focus on yourself, keep yourself busy, take care of yourself, eat food, drink, exercise and what not.

I am really sorry for your lousy experience, dear OP.
 
Wakuu;

Hapa nilipo nina lundo la vidonge vya usingizi. Sijaweza kula chakula kabisa na wala fikra zangu haziko sawa.Mpenzi wangu ambaye nampenda sana ameniacha baada ya uvumilivu kumshinda (all my faults). Nina maumivu makali sana sana sana sana sana sana. Sijawahi umwa hivi kwa sbb ya mapenzi.

Nimemsihi arudi kakataa katkat (Tabia zangu ni mbaya sana) hataki kurudi.Amenivumilia sana mpaka mwisho. She is My soul mate but she is leaving me. Nifanyeje?

Kama hujawahi kuumwa kwa sababu ya Mapenzi please just kaa kimya coz. My life is on a thin thread because of this.

Mnashughulikiaje BREAK UP ZA AINA HII?

Comment yako inaweza saidia wengine hata kama mimi nitaamua kubwia hizi tembe. GOD HELP ME

How did I ever let you slip away
Never knowing I'd be singing this song some day
And now I'm sinking, sinking to rise no more
Ever since you closed the door

If I could turn, turn back the hands of time
Then my darlin' you'd still be mine
If I could turn, turn back the hands of time
Then darlin' you, you'd still be mine

Ji keep busy tu hakuna namna ili mradi usije kuwa mlevi.
 
Cry as much as you can

Keep yourself busy with work + personal duties.

Don't text/call her, ukiweza futa namba ila kama ulizikariri acha tu

Siku ukimmiss text her, akijibu asipojbu we usijali as along as text yako atakuwa kaiona na akikublue tick ukaumia we lia tu then futa machozi lala.

But the best healer is TIME.
 
Yuck, breakup really sucks.
Prove to yourself that you can do things and be happy without her.
Give yourself time to grieve the loss of the relationship.Throw out stuff which reminds you of her.

Focus on yourself, keep yourself busy, take care of yourself, eat food, drink, exercise and what not.

I am really sorry for your lousy experience, dear OP.
Yeaaaah best advice, I lyk it.
 
Wakuu;

Hapa nilipo nina lundo la vidonge vya usingizi. Sijaweza kula chakula kabisa na wala fikra zangu haziko sawa.Mpenzi wangu ambaye nampenda sana ameniacha baada ya uvumilivu kumshinda (all my faults). Nina maumivu makali sana sana sana sana sana sana. Sijawahi umwa hivi kwa sbb ya mapenzi.

Nimemsihi arudi kakataa katkat (Tabia zangu ni mbaya sana) hataki kurudi.Amenivumilia sana mpaka mwisho. She is My soul mate but she is leaving me. Nifanyeje?

Kama hujawahi kuumwa kwa sababu ya Mapenzi please just kaa kimya coz. My life is on a thin thread because of this.

Mnashughulikiaje BREAK UP ZA AINA HII?

Comment yako inaweza saidia wengine hata kama mimi nitaamua kubwia hizi tembe. GOD HELP ME
kama unajua unampenda na unahisi sehemu ya moyo wako uko kwake kwanini hukubadili tabia ili usimkwaze?? asee pamabana na hali yako. mwana kulifind mwana kuliget. Mmezidi kuchezea mioyo ya wenzenu kirahisi rahisi. Halafu tafuta duka la dawa lililopo karibu yako wakuongezee diazepam au valium 20 ili ulale vizuri hadi ufufuo wa mwsho ili usitekese. Hizo dawa nitazilipia mimi kiroho saaafii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom