How do i Solve this?

Tatizo lako mkuu umevunja makubaliano....inavyoonekana kabla ya kumtongoza mlijadiliana na swahiba wako kuwa uanze wewe then utambakishia....
Lakini cha ajabu swahiba wako anashangaa mzee umeganda mazima...hali inayomlazimu na yeye kuanza kufanya taratibu zake..
Mwachie na mwenzio naye aonje kama mlivyokubaliana............na huyo mdada naye aache kujishaua ina maana anatongozwa na huyo swahiba wako tu....mbona wengine hakuambii....,??...
Anataka kuwagombanisha ili ale huku na huku....
 
mwambie rafiki yako unampa offer kwenda sehemu nzuri!,halafu na huyo girlfriend wako mwambie unatoka nae kwenda sehemu nzuriii!ila usimwambie gf au rafikio kuwa watakutana huko muendako .wewe jifanye cku hiyo utakuwa karibu na eneo la tukio ili usimpe fursa rafiki wa kiume kusema mfuatane kwenda wote!halafu cku hiyo fuatana na huyo baby wako muende eneo la tukio.mkifika pale mkishakaakaaa mtambulishe rasmi baby wako kwa rafikio wa kiume!mwisho wa mchezo!rafiki yako akirudia ni hovyo!na huyo baby wako kama kuna analolificha utakuwa umemkomesha!

Aisee.. Itabidi nijaribu kufanya hili Mkuu.
 
Huyo jamaa yako ndo alimuanza huyo binti kumsololea na wewe ukamuomba ushauri kwamba unamtaka huyo binti naye akaupa go ahead bila kukuambia alipoishia sasa haamini jinsi ulivodrible ngoma kula atakuwa hajala ila demu namdanganya kuwa hata wewe hujala huenda kweli hujala(bananazoro anakawimbo) kwahiyo demu anafurahi mnavorukaruka kama vindege .Kiuzoefu wangu akitokea serious guy nje ya ninyi asiye na masihara atakula fasta na ataoa akipend we hujala .Ukila hatataka kushikwashikwa kula vizuri

Mkuu.

Ni Mchumba wangu, na kuna uwezekano akawa na Mimba yangu, huyu rafiki yangu nia yake ni kulala na girlfriend wangu, ni kama kunidharau hivi.
 
chunguza kwanza au waite wote wawili uwaambie kilichoko moyoni mwako
utashangaa utakayo gundua
ama wana kitu going on au mdada hana msimamo

anashikwaje kiuno na mtu asie mhusu?

Mkuu, according to her, anasema jamaa alimvizia kwa nyuma akamshika huku akimwambia hayo maneno.. Sasa napotaka kum confront jamaa, yy ananikataza, anasema haina haja... Nimpotezee tu.
 
chunguza kwanza au waite wote wawili uwaambie kilichoko moyoni mwako
utashangaa utakayo gundua
ama wana kitu going on au mdada hana msimamo

anashikwaje kiuno na mtu asie mhusu?

Katika mazungumzo, aliwah niambia hivi... Kama angetaka kitembea nae, hata sasa angetembea nae, ila hana shida ya kufanya hivyo... Kisha akaniiliza kama namuona yy ni kikwazo ktk maisha yangu.
 
Mkuu hapo umeliwa aisee,tena siku nyiiingiiii

Huyu binti hapo amejitengenezea mazingira kwako ili umuone yeye sio Cha wote lkn kiukweli ni kwamba Rafiki yako kama hajapita basi soon anamla. Kwanini akukataze usimwambie rafiki yako?

Fanya hivi,mfuate mshkj wako halafu mwambie aache kumsumbua shemeji Yake Halafu uone huyo gf wako atachukua uamuzi gani. Kama hato kasirika na kutishia kuvunja uhusiano wenu mimi nitatembea bila nguo kutoka posta mpaka feri

Na hiyo itakuwa ushahidi Kuwa anampenda zaidi Jamaa yako kuliko wewe. Acha uoga na Piga Moyo konde ufanye nilicho kushauri uone matokeo.

Sawa Mkuu. Nafanya hivyo.
 
Kwani huyo rafiki yako mgonjwa?

Sisemi kwasababu ya ugomvi. Mshkaji kicheche hapa ofisin keshakula zaid ya wawili... Sasa naona ni zamu ya mchumba wangu. Nalazimika kumfuata mshikaji, kama huyu mpenzi ataamua kusepa sawa.
 
Usitafute sababu ya kum-confront jamaa. Kwa sababu kuna siku utaumbuka. Huyo jamaa anamshikia kiuno wapi mchuchu? Kwenye corridor ofisini ama wapi? Na huyo dada ndio unahitaji kumconfront kama anaendekeza mitongozo hiyo.


Mwisho wa siku jifunze. Dont do the crew. Kufanya zero grazing ni uvivu wa kutongoza. Na huyo rafikio hakufai. Kaa nae mbali

Mkuu unasema ni fanye Shifting Cultivation?
 
hivi mtu ataanzaje kunishika kiuno kama sio mpenzi wangu? mbona atajuta na hata kama alikuwa rafiki tutaishia hapo na maziea nafuta
 
Mwanamke huwa hapendi mwanaume asiyejiamini lakini wakati huo huo huwa hapendi mwanaume asiye tayari kumlinda...

Jaribu kuwa mwerevu maana unaweza kuishia kuumizwa big time...

Hili ndilo linalonipa head Ache Mkuu.
 
maumivu ya kichwa huanza pole pole! watu wanataaluma ya hizo fani za malovee wanakwambia kesha liwa huyo unabisha! amemu entertain mwenyehe coz from nowhere mtu akushike kiuno kesha atulie mwambie report yake hajaimalizia hilo la kugongwa hajakwambia mengine yote kasema ukweli kasoro hapo. duh biashara ya kumwita mbwa mjomba ndio hii ukajiaminishe hivyo mapenzi yenyewe bongo movie haya.
 
Sisemi kwasababu ya ugomvi. Mshkaji kicheche hapa ofisin keshakula zaid ya wawili... Sasa naona ni zamu ya mchumba wangu. Nalazimika kumfuata mshikaji, kama huyu mpenzi ataamua kusepa sawa.

Uamuzi makini huu! Hapo utajua mbivu na mbichi!
 
Mwisho wa mwanamke kuyongozwa ni siku akifa tu.. hizi siku zingine akitongozwa ni kawaida

by the way acheni kichunguza mambo ambayo matokeo yake hamiwezi kiyahandle mkaishia kisema ..NAMWACHIA MUNGU...bora umwachie mapema
 
Mkuu, according to her, anasema jamaa alimvizia kwa nyuma akamshika huku akimwambia hayo maneno.. Sasa napotaka kum confront jamaa, yy ananikataza, anasema haina haja... Nimpotezee tu.

Angeanza yeye kumpotezea kwa kumnyorosha na asikuambie kabisa. Kitendo cha kukuhadithia kinahitaji ufanye uamuzi mgumu. Usiwe kama Kikwete mwana.
 
Sisemi kwasababu ya ugomvi. Mshkaji kicheche hapa ofisin keshakula zaid ya wawili... Sasa naona ni zamu ya mchumba wangu. Nalazimika kumfuata mshikaji, kama huyu mpenzi ataamua kusepa sawa.

Then, alishamla na kamfurahisha mtoto ndo maana unakatazwa usiongee nae!
 
Samahani kwa kauli yangu ila mwanaume ni mtu ambae mmmh sijui nisemeje mtu anayeweza kulala na kichaa na akapata mimba while anajue kua aliyelala nae hamnazo,usishangae rafiki yako kumtaka shemeji teh teh mikojo inamsumbua akiimwaga tu atakua mpole
 
Wanasema kazi ya moyo ni kusukuma damu kupenda ni kiherehere tu ...penda Kwa asilimia 9% na usimwamini mwanamke hata Kwa dakika 1 ishi nao kama mnafanya bongo movie, ila waheshimu Kwa sababu ni mama zetu Dada zetu na niwake zetu na huyu Sasa ni demu Wako, ukiweza tu hayo unasolve issue yako.

Hakika umemliza yote muhmu mkuu
 
Sisemi kwasababu ya
ugomvi. Mshkaji kicheche hapa ofisin keshakula zaid ya wawili... Sasa
naona ni zamu ya mchumba wangu. Nalazimika kumfuata mshikaji, kama huyu
mpenzi ataamua kusepa sawa.

Hayo ndiyo maamuzi, na endapo itamuudhi huyo mwanamke kiasi cha kuondoka, utakuwa umepata jibu.
 
Back
Top Bottom