- Thread starter
- #81
Usikurupuke kumfuata jamaa,je kama demu anakurusha roho? Unawezakuta demu anajua kuwa huyo rafikiyo anammezea so anakurusha roho!
Anatafuta attention yaani "take care of me or I can be taken...."Au anataka kukutenganisha na rafikiyo kwa sababu zake binafsi!
Unaweza kuja kuharibu mpaka ujione mjinga. Kuwa mvumilivu,kuwa na subira, chunguza mpaka upate ushahidi, then make decision! Pole.
Mkuu,
Jana niligombana nae, na nikawa namuuliza kwann napodhamiria kumfuata jamaa, yy ananiambia niachane nae, kwa maana hata nikimfuata haitofaa kitu, anasema, kama angetaka kutembea na mshikaji hata sasa angetembea nae, jana kaniambia" jamaa alianza kitambo kumfuata, so kama angekuwa anataka angekuwa nae, au angeshatembeaga nae siku nyingi...
Haya maneno upande mmoja yalinipoza, ila on the other hand yakazalisha maswali na hisia za kudharaulika' Mkuu kauli ya hata sasa angetaka angetembea nae" hii kwangu naona ni dharau... Yaan niliitafsri kwamba, Ananiambia nitulie, niache fujo, kwa maana kama angetaka, asingeshindwa...
Upande mwingine nikahisi, next time hatoniambia tena..
Sasa which is which????
Ndio maana nikauliza, ww ungefanya nn?