How do i Solve this?

Noel 2014

JF-Expert Member
Apr 11, 2014
712
0
Wana MMU Habari Zenu.

Kuna rafiki yangu Mmoja tunafanya kazi Ofisi Moja, na ikatokea wote tukawa tumempenda Msichana Moja. Mwanzoni kwakuwa wote hatukuwa tumempata yule binti tuliwahi kulizungumza hili lakin ilikuwa kiutani na kiurahisi sana. Mambo si Mambo yule binti akanikubali Mimi na nipo nae kwenye mahusiano mpaka sasa.

Hivi karibun kanifuata akaniamboa kuwa mshkaji amekuwa akimchombeza chombeza kuwa ana Mpenda sana, japo huyo mshikaji wangu anafahamu fika kuwa yule binti ni Mpenzi wangu, lakini nyuma ya Pazia amekuwa mara ana mshika kiuno huku akimtamkia kuwa hata yeye anampenda na anaomba wakutane.

Haya Mambo aliniambia Huyu mchumba wangu mwenyewe.. Lakin akaniomba nisimwambie. Nikaushe, kwamva jamaa atachoka mwenyewe.Mimi kidogo nimekuwa napata shida kuvumilia, japo sijamwambia lolote mshikaji na tunafanya kazi Ofisi moja.

Kila mara napotaka kumfuata jamaa kistaarabu nimuombe aache kumsumbua mchumba, Mchumba ananiambia Niache, kwamba sasa jamaa ameacha kumsumbua.

Kwangu kitendo cha rafiki yangu kumtaka girlfriend wangu nakichukulia ni dharau, na kwa kukaa kimya kwangu, jamaa anajua kuwa mchumba hajaniambia kitu or else ningeshamfuata, kitendo kinachomfanya aendelee kumsumbua Mchumba.

Naomba mniambie, kama ungekuwa in My Position, what would you do?

Naona dharau, halafu mchumba nae sometimes niki raise hii ishu ananijibu kwa ukali kuwa, alishaniambia nisimfuate, mara nikimfuata ndio itakuwaje, yaani naona na majibu yake nayo ni ya kibabe.

Hebu nisikie wewe unge handle vipi hii situation?

Kisha mniambie inakuwaje unamtongoza ama kumchombeza chombeza Mpenzi wa Rafiki yako?
 

KIKOSIKAZI

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
2,224
2,000
Hakikisha baadhi ya mambo yako rafiki yako wa ofisin asiyajue.Atakuwa akiyatumia kama nyenzo ya kukuhalibia uchumba wenu.
 

Fundisi Muhapa

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
4,431
2,000
Mapenzi kazini si mazuri... ufanisi hupungua sana. Muoe huyo mwanamke then mwachishe au wewe acha kazi hapo.

Ila, akili kichwani, kwa majibu yake ya siku za karibuni, rafiki yako ameshapewa uroda.
 

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
2,617
1,225
Nina mashaka na huyo mchumba wako....it seems one day atamkubali jamaa. Huenda anawaweka kwenye mizani ili aamue awe na nani as lifetime partner. Ushauri tu penda kwa only 50% otherwise jiandae kwa surprise ya maumivu.
 

Noel 2014

JF-Expert Member
Apr 11, 2014
712
0
Nina mashaka na huyo mchumba wako....it seems one day atamkubali jamaa. Huenda anawaweka kwenye mizani ili aamue awe na nani as lifetime partner. Ushauri tu penda kwa only 50% otherwise jiandae kwa surprise ya maumivu.
Natafuta Logic, kwann hataki nim confront jamaa? Hata napomuuliza, hanipi sababu zaidi ya kuniambia ni achane nalo hilo... Sasa naona nadharaulika both sides, Kwa Huyu Mchumba wangu na kwa jamaa..
 

asakuta same

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
14,843
0
Ameshaliwa huyo , kwa jinsi ulivyoandika ukizidi kuchunguza utaishia kulizwa tu ndugu.
Wewe vunga tu.
 

asakuta same

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
14,843
0
Nina mashaka na huyo mchumba wako....it seems one day atamkubali jamaa. Huenda anawaweka kwenye mizani ili aamue awe na nani as lifetime partner. Ushauri tu penda kwa only 50% otherwise jiandae kwa surprise ya maumivu.
Kashamkubali na wanakulana hao
 

andishile

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,430
1,225
mwambie rafiki yako unampa offer kwenda sehemu nzuri!,halafu na huyo girlfriend wako mwambie unatoka nae kwenda sehemu nzuriii!ila usimwambie gf au rafikio kuwa watakutana huko muendako .wewe jifanye cku hiyo utakuwa karibu na eneo la tukio ili usimpe fursa rafiki wa kiume kusema mfuatane kwenda wote!halafu cku hiyo fuatana na huyo baby wako muende eneo la tukio.mkifika pale mkishakaakaaa mtambulishe rasmi baby wako kwa rafikio wa kiume!mwisho wa mchezo!rafiki yako akirudia ni hovyo!na huyo baby wako kama kuna analolificha utakuwa umemkomesha!
 

Jael

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
68,348
2,000
mmh!! huo ukaribu na shemeji yake mpaka amshike kiuno na kumchombeza lazima pana kitu hapo, huyo aliamua kujihami tu kwa kukueleza ila chunguza zaidi hiyo habari,then wewe mtoto wa kiume chukua hatua
 

kindege534

Member
Jul 28, 2014
97
0
Onyesha msimamo kijana.
Story kama yako niliwah kukutana nayo. Nilivumilia nikaona jamaa(rafiki angu) anazidi kumsumbua tu...nikamfata nikampa maneno machache ya kiume. Alikoma..
 

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
4,666
2,000
Huyo jamaa yako ndo alimuanza huyo binti kumsololea na wewe ukamuomba ushauri kwamba unamtaka huyo binti naye akaupa go ahead bila kukuambia alipoishia sasa haamini jinsi ulivodrible ngoma kula atakuwa hajala ila demu namdanganya kuwa hata wewe hujala huenda kweli hujala(bananazoro anakawimbo) kwahiyo demu anafurahi mnavorukaruka kama vindege .Kiuzoefu wangu akitokea serious guy nje ya ninyi asiye na masihara atakula fasta na ataoa akipend we hujala .Ukila hatataka kushikwashikwa kula vizuri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Thread starter Similar threads Forum Replies Date
ShalomP Je, ungelikuwa ni wewe kaka mtu ungeli-solve vipi? Mahusiano, mapenzi, urafiki 22

Similar threads

Top Bottom