How do I look...???

How do I look...???

final+image+-+black+woman+with+scarf.jpg

HOW DO I LOOOOK!! DON'T BE SHy,PLEASE TELL ME EEEH!! WHAT??? AM LISTENING........................MMMH REALLY?

Shukrani zangu za dhati zikwende kwa mtarajiwa wangu platozoom sehemu yeyote aliko hata kama kwa AmKATRINA, kwa shem wng wa ukweeeee Young_Master shostito na mshauri wangu wa kariiiibu cacico na charminglady, Bishanga, kipipi upo? babu kijana Asprin na wakeze na watoto, wajukuu na vitukuu, vilembwe na vilebwekezi. fungua shule ya msingi ntakusaidia. duuuh!

shukran kwa washiriki ingawa walichakachua na hawakushinda Erickb52 na wengineo walioleta maombi yao kwa njia ya pm Taz na wengine wengi majina yamenitoka kichwani.................

kwa kutumia avatar hii mshindi anajijua ila alipendekeza asitwaje hadharani kwa ajili ya sababu za kimapenzi, anahofia usalama wake ameshabagwa na kumiminiwa mara kadhaa wazoefu wa humu watakuwa wanamjua ni......................

kamati ya maandalizi ya zawadi iko mbioni kumshawishi atajwe hadharani akikubali ntarudi na majibu.

Wenu.......
Ummu kulthum Platozoom
Umependeza kimwana Mkuu ummu kulthum
 
Last edited by a moderator:
ila mod bwana asante kwa kunibadilishia lakini mimi kama mimi nilitaka niwapate waliomo na wasiokuwemo kupitia kichwa cha habari si unaona mwenyewe.............Lol
 
final+image+-+black+woman+with+scarf.jpg

HOW DO I LOOOOK!! DON'T BE SHy,PLEASE TELL ME EEEH!! WHAT??? AM LISTENING........................MMMH REALLY?

Shukrani zangu za dhati zikwende kwa mtarajiwa wangu platozoom sehemu yeyote aliko hata kama kwa AmKATRINA, kwa shem wng wa ukweeeee Young_Master shostito na mshauri wangu wa kariiiibu cacico na charminglady, Bishanga, kipipi upo? babu kijana Asprin na wakeze na watoto, wajukuu na vitukuu, vilembwe na vilebwekezi. fungua shule ya msingi ntakusaidia. duuuh!

shukran kwa washiriki ingawa walichakachua na hawakushinda Erickb52 na wengineo walioleta maombi yao kwa njia ya pm Taz na wengine wengi majina yamenitoka kichwani.................

kwa kutumia avatar hii mshindi anajijua ila alipendekeza asitwaje hadharani kwa ajili ya sababu za kimapenzi, anahofia usalama wake ameshabagwa na kumiminiwa mara kadhaa wazoefu wa humu watakuwa wanamjua ni......................

kamati ya maandalizi ya zawadi iko mbioni kumshawishi atajwe hadharani akikubali ntarudi na majibu.

Wenu.......
Ummu kulthum Platozoom
Babu kijana???? ABOMINATION!

Haya BADILI TABIA, cacico na Yummy chini ya uangalizi wa Kongosho hebu mkuje pande hii muone waubani wenu eti naitwa sharobaro!!
 
Last edited by a moderator:
Nitamuuliza matesha leo tukikutana kwenye vikoba leo.

Kwa mujibu wa babu yangu Mtweeta (RIP), kile kijitu kadiri unavokisugua ndivyo kinavozidi kuongezeka.... Unataka kuthibitisha? Kam zis wei!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom