Isumbwile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 801
- 359
Habari zenu wanajf
Katika pitapita zangu mtaani kuna nyumba moja imenivutia sana kwa jinsi ilivyojengwa,ni nyumba ya gorofa moja, mchoro wake na design yake vimenivutia sana.
Tatizo ni kwamba je naupataje mchoro wa hiyo nyumba au basi hata architect aliyechora huo mchoro kwasababu nimejaribu kufatilia nimeambiwa mwenye nyumba sio mtu ambaye anapatikana kirahisi na kusema labda nipige picha hiyo nyumba kuna walinzi pale 24/7 wanaweza kuanzisha msala. Pia nimejaribu kumleta architect labda aione kwa nje ajaribu kuchora lakini imekuwa ngumu kwani view nzuri ni lazima uwe kwa ndani so ikawa ngumu kuchora from outside plus kuna ukuta mrefu sana.
Wadau,najua tumeshawahi kuona nyumba nzuri na ukavutiwa na mchoro wake,je ulifanyaje kupata huo mchoro?
Nawasilisha..