Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,341
Huyo dawa yake makofi tu na kumshtaki kwa wazazi wake.Huko kunaitwa kuruka majivu na kukanyaga Moto usifikiri ndo umemaliza tayari huyo binadamu kaweka kitu fulani akilini mwako,Kama hujafanya Leo basi kesho ipo kikubwa ni uzima na muda tu mambo hujipa yenyewe,tatizo si kukataa bali kuusimamia msimamo wa kukataa hilo ndo gumu..🤓🤓🤓