How can you let it go?


mlikuwa mmeishaachana au ulishtuka anaoa na alikuwa hajakwambia kuwa ana mtu mwingine wa kumuoa?
 
Pole mpenzi, mim pia nateswa na ki2 kama hicho huu ni mwez wa3 sasa ila najitahidi na nahisi am about to move on, jitahid kuwa busy na mambo yako,jichanganye na friends ambao hawamjui wala hawajui story yako na yeye I mean ambao hawataweza kumuulizia,unapohisi upweke usiwaze sana kuwa angekuwepo usingekuwa hivyo ila sikiza nyimbo za watu waliokubari matokeo,letting go,movin on,don't want u back na vi2 kama hivyo utazoea na badae utaona ulichelewa kuchukua uamuzi wa akil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…