How can you do bolding en underlining ni jf?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,608
Reaction score
40,858
Kama kuna mtu anae jua bolding na kufanya underlining naomba anielekeza hapa jf.
Ntashukuru sana.
 
guda letter B , au weka nyota mwanzo na mwisho wa sentensi au neno ili ku bold.

hapo juu nimebofya hicho ki letter B.
Ilanhapa chini nimetumi a nyota mbili mwanzo na mwisho wa sentensi.
halooooooo Habari yakoo

ukitaka Italtalic na bold vyote kwa pamoja unaweka nyota tatu mwanzo na mwisho mwa sentensi .
 
Jf App ipo kama Ms Word. Kama unajua kutumia Ms Word, basi na hii App utaiweza
 
Kama kuna mtu anae jua bolding na kufanya underlining naomba anielekeza hapa jf.
Ntashukuru sana.
We maamuma unachojua ni kukopi vifungu vya Biblia na kupaste huku.

Nitakufundisha kwa masharti ya unujibu maswali yangu 3.
1. Kwanza unieleze nani mwandishi wa quran wakati middy hakujua kusoma na kuandika. Pia quran inasema, quran ya muddy ni ya kukariri kichwani na yoyote atakayeiandika quran kwenye karatasi ni mchawi, hii iliandikwa na nani.
2. Je quran hii ndio ile aliyoiacha Muddy, je ni vifungu vipi vilivyoliwa na mbuzi? Kama quran ni maneno ya Allah, Kwanini allah aliruhusu mbuzi ale aya za quran?
3. Mungu alimshushia Musa Taurati, ninaomba kwenye Taurati inayotumiwa na waislam kifungu ambacho kuna zile amri 10 za Musa.

Ukinijibu hayo nitakufundisha namna ya kubold, kuunderline pamoja na kuandika "kiitalics" 😁😁😁
 
Oi mambo juu zaidi, nitakwenda shambani kesho asubuhi.kununua mahindi na kulima
 
Mkuu acha kejeli ukidhihaki Qur’an sio kwamba unaniudhi mimi laa asha unaudhi watu wengi, mimi sio muhakilishi wao, bora nitukane mimi ila sio ummah zima mkuu tuweke heshima mbele tuvumiliane na kustahimiliana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…