How Can There Be Free-Will ?

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,996
3,939
Free-Will ,does it really make sense ?

How can there be Free Will if God has already decided in advance who gets hell and who gets heaven with no regard for actual conduct throughout their life time ,That is ,God knows what you are going to do before you do it.

Consider the following cartoon for insight,Futurama,"Godfellas" where Blender encounters God ,

Blenders;So do you know I am going to do something before I do it ?

God Entity; Yes.

Blender;what if I do something else ?

God Entity; Then I don't know that .

Well,this is very interesting.If future is already known,then it can't be changed,correct ? So why does God get angry about events when he already knows what is going to happen ? How are we free to determine or define our own destiny if the future is already known?

Religion tells us ,man is free to make deliberate decisions and that those actions are his responsibility.The interesting thing is
•God created man as fallible (Capable of making mistakes).

•God punishes man for being fallible .

•That we are free to choose.

•That we cannot exercise that choice except under threat of punishment ,Is that really freedom ? Isn't freedom at all .

Well ,some people argue that our freedom of choice isn't freedom of consequences ,our choice is its own punishment.

Get back to fallibility ,tendency to make mistakes or be wrong ,if we are unable to understand the basis of our contract with God ,how can punishment be just ?
Does God bear no responsibility for creating fallible or imperfect creatures ?
Does it make any sense that a perfect God created imperfect beings and wants imperfect beings to understand or consider another entity as perfect ? Not to change that ,I mean ,how can our imperfect selves even begin to define something as perfect ? Yet ,the perfect entity (God) punishes imperfect beings created by him for exercising imperfect choices that they make when they choose a path which is contrary to his inscrutable-will,what do you think ?

Brought scriptures through his imperfect beings in which we contradict ourselves finding its meanings and yet ,no one to tell us the truth,no one to tell us who is in true conclusion or false conclusion ,everyone pretends to know the truth,and when we die,we will be punished for the choices we have made on earth.
The question is ,how do we determine our imperfect mind is not misleading us ? Consider the following picture which proves that The Brain Can't Be Trusted.

IMG_5289.jpg

What do you see ? It is an art,right ? How many eyes do you see? They are two ,right ? How many mouths ? It is just one ,right ? Do you really see that ? Put your mind right.

"Mind Right "

The Only Way To Know The Truth Is By Checking It Yourself.

"Yourself "

The Truth Is To Find What We Were Put On Earth To Do,And In Searching Of Our Purpose On Earth,We Should Never Believe Everything That Comes To Us,We Must Question The Reality Of Its Truth .

—Free-Will,Is It Myth Or Truth?
Think Of It•
 
Tatizo watu wengi katika haya masuala ya dini na mungu hawajui kuwa kuna hitaji elimu yani kuna watu wanakaa darasani kabisa kupata elimu. Ni tofauti na tunavyoyachukulia masuala mengine ya kidunia ambayo tunayapata mashuleni.

Huwa tunaelewa kuwa kuna mambo mengine ni magumu kumueleza mtu akakuelewa ikiwa hajapata msingi wa hicho unachotaka kukieleza ila kwenye masuala ya dini/ mungu ni tofauti kwa sababu unawezakuta mtu yeyote tu anaweza akataka umueleze jambo na aelewe bila kujari kama ana msingi hicho anachotaka kueleweshwa.

Lakini pia haya masuala ya kidunia huwa wengine wanaogopa kuhoji ikiwa hana elimu ya hilo jambo,mfano mtu ambaye hajasoma sayansi hawezi kuhoji ama kupinga masuala ya kisayansi wakati hata elimu sayansi hana,ila unaweza kukuta mtu hana elimu ya dini wala hajamsoma vizuri huyo mungu ila yupo humu na ana Uhuru wa kupinga hayo masuala.
 
Thank you.

Ume maliza kabisa . Usemacho ni sahihi kabisa
 
Sina hakika kama nimekuelewa unachozungumza.But Kwanini kuwe na ugumu wa kuelezea mambo ya Mungu?

Kwahiyo unaamini kila anaehoji mambo ya mungu hana elimu nayo?Weka hoja yako vizuri Sir ,what is your point ? Seems unaenda nje ya topic.
 
Free-Will ,does it really make sense ?

How can there be Free Will if God has already decided in advance who gets hell and who gets heaven with no regard for actual conduct throughout their life time ,That is ,God knows what you are going to do before you do it.

Consider the following cartoon for insight,Futurama,"Godfellas" where Blender encounters God ,

Blenders;So do you know I am going to do something before I do it ?

God Entity; Yes.

Blender;what if I do something else ?

God Entity; Then I don't know that .

Well,this is very interesting.If future is already known,then it can't be changed,correct ? So why does God get angry about events when he already knows what is going to happen ? How are we free to determine or define our own destiny if the future is already known?

Religion tells us ,man is free to make deliberate decisions and that those actions are his responsibility.The interesting thing is
•God created man as fallible (Capable of making mistakes).

•God punishes man for being fallible .

•That we are free to choose.

•That we cannot exercise that choice except under threat of punishment ,Is that really freedom ? Isn't freedom at all .

Well ,some people argue that our freedom of choice isn't freedom of consequences ,our choice is its own punishment.

Get back to fallibility ,tendency to make mistakes or be wrong ,if we are unable to understand the basis of our contract with God ,how can punishment be just ?
Does God bear no responsibility for creating fallible or imperfect creatures ?
Does it make any sense that a perfect God created imperfect beings and wants imperfect beings to understand or consider another entity as perfect ? Not to change that ,I mean ,how can our imperfect selves even begin to define something as perfect ? Yet ,the perfect entity (God) punishes imperfect beings created by him for exercising imperfect choices that they make when they choose a path which is contrary to his inscrutable-will,what do you think ?

Brought scriptures through his imperfect beings in which we contradict ourselves finding its meanings and yet ,no one to tell us the truth,no one to tell us who is in true conclusion or false conclusion ,everyone pretends to know the truth,and when we die,we will be punished for the choices we have made on earth.
The question is ,how do we determine our imperfect mind is not misleading us ? Consider the following picture which proves that The Brain Can't Be Trusted.

View attachment 510361

What do you see ? It is an art,right ? How many eyes do you see? They are two ,right ? How many mouths ? It is just one ,right ? Do you really see that ? Put your mind right.

"Mind Right "

The Only Way To Know The Truth Is By Checking It Yourself.

"Yourself "

The Truth Is To Find What We Were Put On Earth To Do,And In Searching Of Our Purpose On Earth,We Should Never Believe Everything That Comes To Us,We Must Question The Reality Of Its Truth .

—Free-Will,Is It Myth Or Truth?
Think Of It•
It is very difficult to understand the God by using normal brain
 
Hakuna atakayekujibu hili suala kwa undani kwa sababu ndanimwe kuna fundamental flaws kimantiki. Kwa akili ya kawaida, itafika mahali itakubidi hata uzisaili sifa kuu za Mungu na mpango wake mzima kuhusu ukombozi wa mwanadamu. Ni mojawapo ya masuala ambayo utaambiwa binadamu hatuwezi kumwelewa Mungu sawasawa na wanafalsafa wengi wamehangaika sana na suala hili bila kufikia muafaka.

Mimi naamini free will tunayo lakini ina kikomo na kimalimwengu sote tu watumwa wa nguvu ambazo hatuna uwezo wa kushindana nazo (mf. Our spiritual destiny). Ndiyo maana baadhi ya christian curts mf. Jehovah's Witnesses hufundisha kwamba hakuna hell kwa sababu Mungu yule yule Anayejua kila kitu, Asiye na ukomo na Aliyepo kila mahali hawezi kumuumba kiumbe dhaifu anayemjua kuanzia A - Z halafu tena aje amchome moto tena wa milele kwa udhaifu ambao kiundani Mungu mwenyewe ndiyo Ameuruhusu Mf. Hata kama shetani hapo mwanzo alikuwa malaika mkuu huko mbinguni, Mungu si Alijua kuwa atakuja kuasi na kutuletea hii shida ya dhambi tunayopambana nayo hapa duniani? Na bado Akamuumba tu...

Maswali haya ukiyauliza sana ndiyo mwanzo wa kufukuzwa makanisani na kuyafikiri sana aisee unaweza kujikuta unadhoofika kiimani. Pengine ndiyo maana tukaambiwa kuwa inatupasa kuwa kama watoto. Akili ya binadamu haiwezi kumwelewa Mungu katika ukamilifu na utakatifu wake. Kila mmoja na ashike sana alichonacho ili hata alicbonacho asije akanyang'anywa!
1ad5e0f862d47f22df42446fb50eeee7.jpg
 
Well ,so tunahitaji kuwa na abnormal brain ili tumuelewe? Kama ni hivyo kwanini tumekuwa na hizi brain ,if we can't understand G-d kwa kutumia hizi brain?

Interesting.
 
Hakuna atakayekujibu hili suala kwa undani kwa sababu ndanimwe kuna fundamental flaws kimantiki. Kwa akili ya kawaida, itafika mahali itakubidi hata uzisaili sifa kuu za Mungu na mpango wake mzima kuhusu ukombozi wa mwanadamu. Ni mojawapo ya masuala ambayo utaambiwa binadamu hatuwezi kumwelewa Mungu sawasawa na wanafalsafa wengi wamehangaika sana na suala hili bila kufikia muafaka.

Mimi naamini free will tunayo lakini ina kikomo na kimalimwengu sote tu watumwa wa nguvu ambazo hatuna uwezo wa kushindana nazo (mf. Our spiritual destiny). Ndiyo maana baadhi ya christian curts mf. Jehovah's Witnesses hufundisha kwamba hakuna hell kwa sababu Mungu yule yule Anayejua kila kitu, Asiye na ukomo na Aliyepo kila mahali hawezi kumuumba kiumbe dhaifu anayemjua kuanzia A - Z halafu tena aje amchome moto tena wa milele kwa udhaifu ambao kiundani Mungu mwenyewe ndiyo Ameuruhusu Mf. Hata kama shetani hapo mwanzo alikuwa malaika mkuu huko mbinguni, Mungu si Alijua kuwa atakuja kuasi na kutuletea hii shida ya dhambi tunayopambana nayo hapa duniani? Na bado Akamuumba tu...

Maswali haya ukiyauliza sana ndiyo mwanzo wa kufukuzwa makanisani na kuyafikiri sana aisee unaweza kujikuta unadhoofika kiimani. Pengine ndiyo maana tukaambiwa kuwa inatupasa kuwa kama watoto. Akili ya binadamu haiwezi kumwelewa Mungu katika ukamilifu na utakatifu wake. Kila mmoja na ashike sana alichonacho ili hata alicbonacho asije akanyang'anywa!
1ad5e0f862d47f22df42446fb50eeee7.jpg

Thanks kwa maelezo yako mazuri .But hapana,hakuna swali gumu linaloweza kukutoa kwenye imani yako .Maswali magumu yatakuza imani yako kama unajitafakari.Kama kitu ni cha kweli basi maswali hayawezi kuwa ni tatizo .Hao watakao kufukuza kanisani ndiyo walioku brainwash kuwa usihoji sana utavuruga imani yako,lengo lao wapate kukutumia vizuri kwa maslaha yao.Don't trust them ,they are humans like you ,check the truth yourself.Truth is for those who have the courage to question.

—Think Of It •
 
Sina hakika kama nimekuelewa unachozungumza.But Kwanini kuwe na ugumu wa kuelezea mambo ya Mungu?

Kwahiyo unaamini kila anaehoji mambo ya mungu hana elimu nayo?Weka hoja yako vizuri Sir ,what is your point ? Seems unaenda nje ya topic.
Mkuu mbona hoja yangu imenyooka kabisa,isome kwanza kisha maswali yatakuja baada ya kuelewa hoja yangu na si kusoma tu ili uniulize maswali.

Usiwe na wasi naelewa unachotaka.
 
You contradict yourself. The fact that God knows the future has absolutely nothing to do with your freewill.

Ngoja nikupe mfano. Unajua Kabisa kwamba mwanao akishika moto utamdhuru, sasa hii inahusiana Nini na uamuzi wa mwanao kushika au kutoshika huo moto??

Mungu anajua utakachofanya na ambacho hutafanya, lakini maamuzi bado ni yako
 
Mungu anajua mpaka maamuzi yako na matokeo yake kwa uhakika. Wakati kwa mfano wa mtoto ulioutoa mzazi hana hakika kama mtoto atashika moto au hata shika. Alicho na uhakika nacho ni matokeo ya kushika/kutokushika moto.

Na washawasha!

You contradict yourself. The fact that God knows the future has absolutely nothing to do with your freewill.

Ngoja nikupe mfano. Unajua Kabisa kwamba mwanao akishika moto utamdhuru, sasa hii inahusiana Nini na uamuzi wa mwanao kushika au kutoshika huo moto??

Mungu anajua utakachofanya na ambacho hutafanya, lakini maamuzi bado ni yako
 
You contradict yourself. The fact that God knows the future has absolutely nothing to do with your freewill.

Ngoja nikupe mfano. Unajua Kabisa kwamba mwanao akishika moto utamdhuru, sasa hii inahusiana Nini na uamuzi wa mwanao kushika au kutoshika huo moto??

Mungu anajua utakachofanya na ambacho hutafanya, lakini maamuzi bado ni yako

"Mungu anajua utakachofanya na ambacho hutafanya,"

lakini maamuzi bado ni yako

Read it yourself.How does it sound ?
 
Mungu alimwambia kaini abadili mipango yake akagoma na akapatwa na mabaya. Mungu aliwaambia waninawi watubu, wakatubu na kusamehewa, mungu alimwambia Sedekia ajisalimishe kwa wakaldayo ili apone akagoma na kupatwa na mabaya. Ingekuwa ni unafiki kushauri watu hali ukijua wataitikiaje. Mungu anaweza panga future yetu lakini kaamua kutuacha tuwe na maamuzi yetu na kudeal na matokeo yake. Anajua kitakachotokea tukiamua kwa namna fulani lakini hapangi jinsi tutavyoamua.
 
Mkuu mbona hoja yangu imenyooka kabisa,isome kwanza kisha maswali yatakuja baada ya kuelewa hoja yangu na si kusoma tu ili uniulize maswali.

Usiwe na wasi naelewa unachotaka.

Hapana mkuu ,Hemu jisome mwenyewe,you couldn't touch the main point ,zaidi umetoa malalamiko na kuonesha uoga wa kuhoji.

Well ,you have said unajua ninachokitaka,still unaenda nje ya TOPIC and I don't know how you have reached that conclusion .Unapojibu hoja hakikisha unabaki Kwenye hoja,otherwise ni kupoteza muda, kujibu vitu nje ya mada kwa kutumia hisia.

Kwanza let's define What Is Free Will ,Je kuna uhusiano gani kati ya Free Will ,Destiny and choice ? ,Free Will and Punishment ?,Je kuwa na Free Will kuna kupa freedom ya kufanya unachodhani
ni sahihi? Ikiwa Mustakabali wako tayari ulishakadiriwa juu ya kila utakachokifanya ,The bad and the good ,je unadhani unapofanya jambo unakuwa unachagua au unayakamilisha yale ambayo tayari ulishatakiwa kuyafanya?

Naomba usitoke nje ya mada.
 
Mungu alimwambia kaini abadili mipango yake akagoma na akapatwa na mabaya. Mungu aliwaambia waninawi watubu, wakatubu na kusamehewa, mungu alimwambia Sedekia ajisalimishe kwa wakaldayo ili apone akagoma na kupatwa na mabaya. Ingekuwa ni unafiki kushauri watu hali ukijua wataitikiaje. Mungu anaweza panga future yetu lakini kaamua kutuacha tuwe na maamuzi yetu na kudeal na matokeo yake. Anajua kitakachotokea tukiamua kwa namna fulani lakini hapangi jinsi tutavyoamua.

"Mungu anaweza panga future yetu lakini kaamua kutuacha tuwe na maamuzi yetu"

"na kudeal na matokeo yake."

"Anajua kitakachotokea tukiamua kwa namna fulani lakini hapangi jinsi tutavyoamua."
---------------------------------------

—Point yako ya kwanza,Mungu anaweza panga au tayari ameshakupangia future yako?Kwasababu what I know is ,Future yako tayari imeshapangwa and you are walking through it to accomplish the mission.As in utazini mara 70 na wanawake 7 tafauti in your life time ,That is already known .So,where do you draw the line ?

—point yako ya pili,The Ultimate Truth is ,wewe haudeal na matokeo ya yale utakayoyafanya ,ni yeye ndiye atakae deal na matokeo juu ya matendo yako,whether to punish you or forgive you ,is up to him ,not you,Is that freedom of choice ?

I want you to be yourself,Mister.

"Yourself "

What is the difference between Free Will And The Knowledge Of Good And Evil ? The knowledge of good and evil ,does it make you free ?

Thanks !
 
Hapana mkuu ,Hemu jisome mwenyewe,you couldn't touch the main point ,zaidi umetoa malalamiko na kuonesha uoga wa kuhoji.

Well ,you have said unajua ninachokitaka,still unaenda nje ya TOPIC and I don't know how you have reached that conclusion .Unapojibu hoja hakikisha unabaki Kwenye hoja,otherwise ni kupoteza muda, kujibu vitu nje ya mada kwa kutumia hisia.

Kwanza let's define What Is Free Will ,Je kuna uhusiano gani kati ya Free Will ,Destiny and choice ? ,Free Will and Punishment ?,Je kuwa na Free Will kuna kupa freedom ya kufanya unachodhani
ni sahihi? Ikiwa Mustakabali wako tayari ulishakadiriwa juu ya kila utakachokifanya ,The bad and the good ,je unadhani unapofanya jambo unakuwa unachagua au unayakamilisha yale ambayo tayari ulishatakiwa kuyafanya?

Naomba usitoke nje ya mada.
Sijatoka nje ya mada mkuu sijazungumzia mpira wala siasa humu. Mada kama hizi huwa zina ubishi usioisha na ndiyo maana hadi leo watu bado wanabishana kama mungu yupo au hayupo.

Mfano hapo unaponiona mie naonesha uoga wa kuhoji,unaweza kuniambia ni nani hasa anatakiwa kuhojiwa haya maswali yako ambayo unaona watu wanaogopa kuhoji? maana hakuna mtu au watu ambao ndiyo wamiliki wa hizi imani,waumini wote wa hizi imani hutoa mafundisho ya hizi imani kutoka kwenye vitabu vya imani yao husika sasa ukija kusema wanaogopa kuhoji ndipo najiuliza ni nani ambaye anatakiwa kuhojiwa ila wanaogopa?

Nayasema haya yote kwa sababu nishaona dalili ya kutokufika muafaka wa chochote katika hii mada zaidi ya kuishia ubishani tu,maana toka mwanzo wa mada umeanza na kuuliza kama free-will ina make sense na una umeng'ang'ania suala la Uhuru wa kuhoji hivyo ni wazi kuwa hauko hapa kuuliza ili uelewe na ndiyo maana nikasema najua unachokitaka.
 
kwaio Mungu alijua kabisa wahutu watawauua watutsi? kwaio Mungu alijua kabisa wananchi wa siera leone watauliwa kama kuku kwa miaka mingi mfululizo? nini Mungu alifanya sasa hata baada ya vita hivi vya baran africa kutokea? je aliwapa dalili za awali? au alijua na aka kaushia tu? je kwakufanya hiv hata yeye hajaona kua aliwakosea sanaaa watu hawa ambao walitegemea ulinzi wake? real? je yeye yupo kweli? sasa vizazi vya hawa watoto wa kiafrica utaviambia vp Mungu yupo navyo vikaamini hasa vikiskia habari izo?
 
Kwani mkuu kuna mahusiano gani ya uwepo wa Mungu na hayo uliyaeleza?
 
Mkuu umeshindwa kujua uhusiano uliopo kati ya Mungu na watu hao? kipi kingine utaelewa sasa hahahahahaahah? come on man, embu tufikirie kidogo uhalisia, tuache mambo ya kuskia skia tu na kuitikia kila kitu kama makondoo, tuelewe ukweli kama kweli Mungu anajua kesho yetu!

ilo ni moja, na sijataka kabisa kuongelea habari za wakati ule wana wa israel walipokua wanatoka misri wanaenda nchi ya ahadi hapo kati Mungu alikua anawaambia wakifika kwenye baadhi ya nataifa basi waisrael hao wawaue nchi nzima, je ilikua ni haki hio?

labda pengine ajitokeze mchungaji humu atueleze yeye aliambiwa vp mafundishoni kwao uko au alifunuliwa vp juu ya wanadamu flani kuua wanadamu wengine kwa maagizo ya Mungu aliesema tusihukumu au kuua wengine hata kama wamefanya nini.
 
Mkuu mbona hujaonesha uhusiano wa kuwepo mungu na hayo mambo?
 
Back
Top Bottom