ferucho lamborgini
Senior Member
- Nov 25, 2023
- 185
- 599
Ukijumlisha yako inakuja ngapi?
Nzuri ni ipiNamba 13 mbaya sana aisee
Si wamesema 'until you get single digital, sasa hiyo 13 ni single? Hapo jumlisha 1 na 3 ili upate singleKwema wakuu
Hali ya maisha imekuwa ngumu, imenibidi niingie google chapu kuangalia namba yangu ya bahati labda ntatoboa
Ila nilichokutana nacho nimepagawa nikasema nije nililete kwenu wakuu hamjawahi kushindwa, angalia hapo chini walivyofafanua namna ya kupata namba yako ya bahati kupitia siku ya kuzaliwa
To begin with, add the digits in your birth date until you get a single-digit number.
For example, if your birthday is January 28, 1992, you would add 1+2+8+1+9+9+2 to get 32. Then, you would add 3+2 to get 5. So, in this case, five would be your lucky number
Baada ya mimi kuingiza namba zangu na kuzijumlisha mzigo ukaja 49, sasa ukichukua 4+9=13
Hapo nikatetemeka kidogo nusu nilie maana hii namba nasikia ni hatari sana, hata matajiri hawaitaki kwenye hotel zao
Sasa mimi ntatoboa kweli kwa 13?
wanasema zingine nzuri ila hiyo 13 ya nuksi mikosi na balaaNzuri ni ipi
Nilipata 49, 4+9=13Si wamesema 'until you get single digital, sasa hiyo 13 ni single? Hapo jumlisha 1 na 3 ili upate single
Umepata ngapi?Nimesoma yangu asante kwa huyu Mungu na mtoa mada
Nilipata 49, 4+9=13
HAyaNumerologist wanaita life path number!
Mfano mimi ni life path number 4 baada ya kujumlisha tarehe yangu ya kuzaliwa mwezi na mwaka nikapata 40, therefore 4+0= 4
Life path number 4 ndio namba yangu ya bahati according to numerologist na sifa + madhaifu yake yanaendana na mimi kabisa
Ila wanasema life path number 8 ndo baba lao very powerful na ina some sorts of richness
Life path number yakoHAya
je hawajakwambia kuhusu kuipunguza na hiyo 13 iwe 4?
Inatakiwa isivuke 12, you have to add, 1+3=4.Kwema wakuu
Hali ya maisha imekuwa ngumu, imenibidi niingie google chapu kuangalia namba yangu ya bahati labda ntatoboa
Ila nilichokutana nacho nimepagawa nikasema nije nililete kwenu wakuu hamjawahi kushindwa, angalia hapo chini walivyofafanua namna ya kupata namba yako ya bahati kupitia siku ya kuzaliwa
To begin with, add the digits in your birth date until you get a single-digit number.
For example, if your birthday is January 28, 1992, you would add 1+2+8+1+9+9+2 to get 32. Then, you would add 3+2 to get 5. So, in this case, five would be your lucky number
Baada ya mimi kuingiza namba zangu na kuzijumlisha mzigo ukaja 49, sasa ukichukua 4+9=13
Hapo nikatetemeka kidogo nusu nilie maana hii namba nasikia ni hatari sana, hata matajiri hawaitaki kwenye hotel zao
Sasa mimi ntatoboa kweli kwa 13?
Hapo sawa nashukuru mkuuInatakiwa isivuke 12, you have to add, 1+3=4.
NdioooLife path number yako
Sifa:
Mbunifu
Unaweza kuwa kiongozi mzuri
Sometimes maamuzi yako yanaweza kukufanya kuonekana kiburi kwa watu wengine usipokuwa makini
Madhaifu:
Una aibu
Mtu mwenye depression
Unapenda sana kusikilizwa