donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Ng'ombe mkuuYa nini hiyo??
Mkuu uliugonga mwingi nnAsubui for breakfast?hapana!apa n supu tena ya samaki!mengine yatafuatia!
HahahahMbona poa tuu
Migahawa mingi ya Tarime menu ya asubuhi utakuta ugali, pilau na vitu kama izo
Hakuna namna mkuuAiseeee
Nimegonga kawaida mkuu!Mkuu uliugonga mwingi nn