Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Habari za asubuhi wapendwa wangu.
Utandawazi unatubadilisha mno fikra zetu,mienendo yetu,ule ukuta au usiri/aibu ulokuwepo awali kati ya wakubwa kuficha mambo yao na vijana wadogo kuyajua wakiwa na umri mdogo hayapo tena.Tukianza hapa Jamii Forums kuna mchanganyiko wa watu wengi.
Je wewe kama mtu mzima ulopevuka unajiainisha vipi mbele ya hadhira hii?
Nasikia sana watu wakisema hiki ni kizazi cha nyoka na naamini ni kweli.Siku hizi watu wamenyimwa haya,mtu mzima unamkuta anapayuka tu na kuongea mambo ya ajabu,mbele ya vijana wadogo.
Kitu kingine ni kwamba je kuna kitu kinachotupa ujasiri wa kujiona kila tunalofanya tuko sahihi?Malezi tulokulia yanaathiri mno maisha kwa namna moja au nyingine.Wale watu ambao hawana mipaka wamekosa good mentors and examples to look up to in their upbringing?Au ndo utandawazi unazitawala fikra zetu mpaka tunasahau maadili na mienedo mema?(Are we brainwashed)?
Ni muhimu kuwa na diversity kwamba ukiwa upo na watu kama ww uwe uhuru na sehem ambayo hujui kuna mchanganyiko wa watu wa aina gani unakuwa makini.Jamani utandawazi umefungua mambo mengi lakini sisi kama watu wazima tunatakiwa tuwe ngangali na kuweka mipaka ili kuwajenga younger generation katika misingi bora.
Kuna availability ya kila kitu siku hizi lakini isiwe ndio sababu ya kujilemaza na haimaanishi ndo tujiachie tu na kusahau majukumu yetu kama grown ups.Tunajidhalilisha sisi mbele ya vijana wadogo na tunajidharaulisha.Majukumu yako kama mtu mzima hayaishii kwenye familia yako tu,yanaextend hata ukiwa nje na watu baki.
Jinsi unavyojiwakilisha ndivyo jinsi watu wanavyokuchukulia.Ukiwa kigeugeu leo unajiwakilisha kama mtu mzima na kesho unaongea maneno ya kipuuzi.Younger generation hawatokuchukulia serious.Kwanini waone wewe ni mfano bora wakati huoneshi upevu wa fikra na huna msimamo?Be an example,A change starts when you are ready to make it.
Karibuni tuchangie

- Unajitambulisha vipi kwa vijana wadogo ambao wanakuangalia na unatakiwa uwe mfano bora kwao,mfano wa kuiga?
- Michango yako inawafunza nini kuhusu maisha?
Nasikia sana watu wakisema hiki ni kizazi cha nyoka na naamini ni kweli.Siku hizi watu wamenyimwa haya,mtu mzima unamkuta anapayuka tu na kuongea mambo ya ajabu,mbele ya vijana wadogo.
- Mipaka imeenda wapi?
- Hekima na busara zimeenda wapi?
- Heshima imeenda wapi?