Haitawezekana ikitokea hivyo kwani shetani atakosa mshiriki. Dini kubwa duniani ambayo Mtume Mohammad na Yesu walikuja kutangaza hapa duniani ni upendo na pale palipo na upendo shetani yu kati yakekw ani yeye kazi yake kubwa na kuharibu amri ya Mwenyezi Mungu, hivyo kupendana sie binaadam ni nadra sana. Wanachukiana mapacha?
Ubinafsi na ufisadi umetawala roho za watu, kila kukicha mtu anabuni njia za kua juu zaidi ya waliojuu. Hakuna kupendana kabisa. Kama huna kabisa ndie wa kwanza kuonewa..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.