How a man should love a woman! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How a man should love a woman!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, Feb 10, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ephesians 5:33 Nevertheless, each individual among you also is to love his own wife even as himself, and the wife must see to it that she respects her husband.
  Ephesians 5:25 Husbands, love your wives, just as Christ also loved the church and gave Himself up for her
  1 Peter 3:7 You husbands in the same way, live with your wives in an understanding way, as with someone weaker, since she is a woman; and show her honor as a fellow heir of the grace of life, so that your prayers will not be hindered
  Waefeso 5:22-24 "Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama Kristo ni kichwa cha kanisa, naye ni mwokozi wa mwili lakini kama vile kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo."

  Magomvi na cheating ndani ya ndoa yangeisha!

  Mbarikiwe sana kuelekea wiki ya Valentine

  Rev Masa
   
 2. bht

  bht JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  asante 'mchungaji' Masa
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,776
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Nice one!
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  thanks rev. masa

  God bless you
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Ameeeeeeeeeeeen,Hlleluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,Ameeeeeeeeeeeeen Halleluyaaaaaaaaaaa
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Mkubwa, hiyo ni wish nzuri sana. Lakini kwa sasa hayo mambo hayaishi? Ni mapinduzi gani yafanyike? Au kwenye sekta hii nako kunahitaji wapiganaji kama wale wa CCM? Natamani kuwa mmoja wao ila nami sitataja jina kwenye waraka au maazimio yoyote!:rolleyes::rolleyes:
   
 7. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye nyekundu nimepapenda....
   
 8. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 3,142
  Likes Received: 3,079
  Trophy Points: 280
  Wakuu kama haya ndo maagizo ya mwenyezi mungu kwetu Duniani hizi dharau na haki sawa kwa hawa wamama zinatoka wapi?au nikutokujua ufahamu juu ya maandiko ya biblia?na kama nikweli kwa nini wanaenda kanisani?
   
 9. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Haiwezekani. Kama ni hivyo itabidi tupambane ili pabadilishwe. Inapaswa kuwa, "watiini katika kila jambo lililo jema". Hawatakiwi kutii tu hata kama ni upupu! No way, something need to be rephrased!!
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,773
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Mchngaji 'mpya' masa hapo kwenye kiblurei ungetuwekea kiswahili pia kama ulivofanya kwa Waefeso.

  Amen
   
 11. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 3,142
  Likes Received: 3,079
  Trophy Points: 280
  Yaleyale wanapinga hata maandiko ya kiroho!!huu mkakati na utandawazi unaweza kutufanya tuwe wendawazimu kwa kweli.

  Loohhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
   
 12. bht

  bht JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye red huwa kuna leta mgongano sana nadhani huwa tunasahau hiyo phrase inavoanza.......kama vile kanisa limtiivyo Kristo..........
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Sawa mkuu, lakini unadhani practically hayo yanawezekana? Hata watawa wenyewe wameweza kutekeleza hayo? Assuming tunaongelea mapadre na masisita wao!
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  DC ofcoz ....kama vile kanisa liimtiivyo Kristo....ni kwenye mambo mema.

  (kuna wanaume wengine wanawalazimisha wake zao kufanya mapenzi kinyume na maumbile....wasije waka-justify kwa kutumia maandiko hayo)
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu imeandikwa andiko hili lisibadilishwe!
   
 16. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,773
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Kweli binamu!
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nilijua hili lazima utalikemea! Enyi wanawake hebu watiini waume zenu, kama dhambi ni ya mwanaume wewe unakuwa umetekeleza andiko
   
 18. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Mkuu, nadhani kukata rufaa kunaruhusiwa. Itabidi tumwombe papa ajaribu. We unategemea nini kama ikiendelea kuwa hivyo wakati tuko kwenye 50% kwa 50%? Si itakuwa kama Bongo kujiita nchi ya kijamaa hadi 2010+?
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nakutafutia kipengere hutakiwi hata kuwaza hayo ulo nayo!
   
 20. bht

  bht JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  jisome mwenyewe ulicomjibu DC.....

  kanisa na Kristo.....kama vile kanisa limtiivyo Krito.....mimi leo narefer hapo tu maana ndo pamebeba uzito wote
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...