How a man should love a woman!

Kaka siku hizi hakuna asikiaye la maandiko wala mnadi sala, watu wametia nta masikioni na kila mmoja anajaribu kujifanya mnyama kuliko mwenzie ndo maana kugombana, kuibiana, kufarakana hakuishi kwa sababu wanadamu tumeukataa uanadamu wetu na kuamua kuwa wanyama tusiofugika! Eeh bwana Mungu tusamehe viumbe wako maana hatujui tuyatendayo!
 
Turudi kwa Mungu, kuna amani na upendo

Asante Kisusi
 
Ephesians 5:33 Nevertheless, each individual among you also is to love his own wife even as himself, and the wife must see to it that she respects her husband.
Ephesians 5:25 Husbands, love your wives, just as Christ also loved the church and gave Himself up for her
1 Peter 3:7 You husbands in the same way, live with your wives in an understanding way, as with someone weaker, since she is a woman; and show her honor as a fellow heir of the grace of life, so that your prayers will not be hindered
Waefeso 5:22-24 "Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama Kristo ni kichwa cha kanisa, naye ni mwokozi wa mwili lakini kama vile kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo."

Magomvi na cheating ndani ya ndoa yangeisha!

Mbarikiwe sana kuelekea wiki ya Valentine

Rev Masa

A woman is a Man with a Womb.....a womb man...a woman!
But a man is a woman who can't love........
A woman is a woman and no mathematical logical additions can be linguistically accepted.

So only a woman has an ability to love.

Any woman who can't love is a man.

A man is nothing but a sex machine who thinks every one else is likewise.
 
Ephesians 5:33 Nevertheless, each individual among you also is to love his own wife even as himself, and the wife must see to it that she respects her husband.
Ephesians 5:25 Husbands, love your wives, just as Christ also loved the church and gave Himself up for her
1 Peter 3:7 You husbands in the same way, live with your wives in an understanding way, as with someone weaker, since she is a woman; and show her honor as a fellow heir of the grace of life, so that your prayers will not be hindered
Waefeso 5:22-24 "Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama Kristo ni kichwa cha kanisa, naye ni mwokozi wa mwili lakini kama vile kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo."

Magomvi na cheating ndani ya ndoa yangeisha!

Mbarikiwe sana kuelekea wiki ya Valentine

Rev Masa

Dah..Home B kumbe uko deep kwenye suala zima la kushuka vesi za Habari njema....Huvumi lakini umo..Safi sana
 
TAFADHALINI NDUGU ZANGU.........HAPO JAZUNGUMZIA MAHUSIANO YA BOYFRIEND NA GIRLFRIEND......!BALI HUSBAND NA WIFE...!
Tumeelewana hapooo.....?
 
Haiwezekani. Kama ni hivyo itabidi tupambane ili pabadilishwe. Inapaswa kuwa, "watiini katika kila jambo lililo jema". Hawatakiwi kutii tu hata kama ni upupu! No way, something need to be rephrased!!

Ni kweli Dark City, kuna waume utakuta anakuja na upupu wake ukimtimua nao utasikia "wanawake wa siku hizi bwana, hawana utii kabisa", sasa nikutii nini wakati unachemsha?
 
Unahitaji maombezi na sala ya toba!
 
Ni kweli Dark City, kuna waume utakuta anakuja na upupu wake ukimtimua nao utasikia "wanawake wa siku hizi bwana, hawana utii kabisa", sasa nikutii nini wakati unachemsha?

xactly!! hapo wala hamna haja ya kubadili maandiko, tatizo lipo kwetu tu tunaotafsiri tu basi.......utiifu ninaouzungumzia ni kwa yale mema tu not otherwise jamani............kuna mabaya kanisa linatii in the name of Christ!?
 
Swali zuri bht! wasitufanye tujisikie vibaya tusipotii upuuzi eti tu kwa vile Imeandikwa watiini waume zenu. waandishi wa Bible Wali-assume kwamba waume wote watakuwa wanamwaga point kwa wake zao, ndo maana wakaandika tuwatii
 
ha ha haaaaaaaaaa, sihitaji maombezi wala sala ya toba. Mume akichemshwa anatimuliwa tu, hata akionyesha vesi zote za biblia

Wewe ni Mpinga Injili

[FONT=Arial, Verdana, Helvetica]When a woman marries, the law binds her to her husband as long as he is alive. Romans 7:2[/FONT]
 
tatizo interpretation zako zitalenga kwenye kupindisha weweee!!! all in all ntamtii mume kw ayaliyomema tu na mimi na yeye baada ya ndoa tutakuwa tumefungamana pamoja!!
 
Swali zuri bht! wasitufanye tujisikie vibaya tusipotii upuuzi eti tu kwa vile Imeandikwa watiini waume zenu. waandishi wa Bible Wali-assume kwamba waume wote watakuwa wanamwaga point kwa wake zao, ndo maana wakaandika tuwatii

wee acha tu....waume zenyewe kila mtu anatafsiri yake ya hiyo mistari ili tu watuonee!!!
 
tatizo interpretation zako zitalenga kwenye kupindisha weweee!!! all in all ntamtii mume kw ayaliyomema tu na mimi na yeye baada ya ndoa tutakuwa tumefungamana pamoja!!

Imeandikwa kutii mume wako ni chanzo cha hekima! Mwanamke mwenye busara atatii na kuilinda nyumba yake, bali mwanamke asiye na busara huitapanya!
 
sawa!!! yaliyo mema ndiyo ya busara!!!!!
 
Imeandikwa kutii mume wako ni chanzo cha hekima! Mwanamke mwenye busara atatii na kuilinda nyumba yake, bali mwanamke asiye na busara huitapanya!
I agree with you hapo kwenye red. Ni vizuri ukimtii mume wako ili kulinda nyumba yako. lakini ni utii gani ambao umeandikwa? Mumeo akija na jambo jema inabidi utii, sio unapingana naye hata kwa mazuri. lakini sio kila kitu kunahitaji utii; mnakuwa pamoja ili kusaidiana mawazo sio kufwata mawazo ya mtu mmoja sababu yeye ni mume.
kama umeshaoa utakubaliana nami kwamba kuna mambo ambayo ulishaongea na mkeo na akakukatalia then later unakuja ku-realise kwamba she was right, sasa imagine angekutii ingekuwaje? si ungeona kuwa naye ni wale wale? na mara nyingi huwa analaumiwa mke
 
Waefeso 5:22-24 "Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama Kristo ni kichwa cha kanisa, naye ni mwokozi wa mwili lakini kama vile kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo."

kama wangelijua hili Beijing wasinge enda!
 
Back
Top Bottom