How 2 hack dstv? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How 2 hack dstv?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by donlucchese, Mar 26, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,390
  Likes Received: 3,520
  Trophy Points: 280
  Is there any1 ambaye anajua how 2hack dstv decoda ili chanelz ziwezinashka free?
   
 2. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  unataka tuweke mambo hadharani ili waushtukie kisha watubanie?
   
 3. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  dah wachakachuaji kila kona!
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  ni PM unijulishe basi rafiki
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamani huku ni kurudisha nyuma maendeleo

  Nunua tu kiuhalali kabisa ndio itafaa
   
 6. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Hebu nendeni mkaweke ili Taifa liwe na pesa sasa mkichakachua hiyo Dstv watalipa tax serikalini?
   
 7. m

  mankind Senior Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  wenyewe ndo wanarudisha maendeleo nyuma kucharge hela nyingi.
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Sikia ''mzeewaLoliondo'' hii kitu ni possible...mimi nilifundishwa na kijana mmoja wa kikenya wakati nipo india masomoni, unachotakiwa kufanya ni kuwa na Receiver box tu....hauhitaji hata kuwa na dish, kwani hata mwamvuli tu unatosha kunasa channel zote za DSTV. Sasa hii njia ni nzuri kwani unakamata channels unazozitaka 'plus' taarifa za kiintelegensia zinazotumika kwa satellite za usalama wa taifa,zinaingiliana na information nyingi sana za kiintelegensia, yule jamaa(mkenya) alikamatwa mara moja alivyoanza tu kutumia, kwani walimtrace wakampata kirahisi sana, sasa sijui hapa bongo imekaaje. Naweza nikakupa techniq kuanza hii kitu lakini ni for ''YOUR OWN RISK''. Na kwa ushauri tu, usitumie hii kitu kwa kufanya biashara!!hii ni kwa home use only!!! Same way ukiwa mkoani ni nzuri zaidi kuliko ukiwa hapo Dar es salaam. Let me think twice...muda mfupi naweza kumwaga mauujuzi hapa jamvini.
   
 9. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mpwa una mi kwara kama ya mzee Gaddafi.... Mwaga huo ujuzi mkuu.
   
 10. M

  Mayu JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Au tuku pm kwa anayetaka kuliko kumwaga kuku wengi kwenye mchele
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mbona nyie ATC mnalipana mishahara watu zaidi ya 100 kwa ndege moja?
  Mnaleta hela gani serikalini?
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Pumba. Taarifa za kiintelijensia ziko encrypted, hauwezi kuvuta tu, pia hakuna njia ya kuwa tracked kwa sababu unatumia dish, dish inareceive bila kutransmit utatrack nini?
   
 13. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  DSTV wajinga fulani hivi. Nilitaka dstv ofisini kwangu wananambia natakiwa kulipia 150$ kwa mwezi kwa kuwa tutakuwa tunaangalia ofisini lakini kama ni nyumbani ni 25$. Kama wanauwezo wa kuchakachua mi naona poa tu!
   
 14. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  tatizo ni kipato lakini c kama watu wanapenda kufanya hivi!!!
  na pia huduma hii inahitajika
   
 15. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Sio box tu. Na siorahisi kama unavyosema. ebu elezea kitaaam proceess nzima ya ya tokea matangazo yanarushwa kutoka kituoni kwenda kwenye satelite na mapaka yarrudi kwenye satelite receiver ya mtumiaji. hasa matangazo kama ya super sport

  Hivi vitu sio rahisi hivyo.

  Kwanza kabla ya kuhack inabdi ajue na asome how TV satelite works . Soma hapa HowStuffWorks "Satellite TV Encoding and Encryption" hasa section ya 7 kuhusu ecryption.

  Kinadharia inawezekena kirahisi but kivitendo kuscramble
  encrypted channel inawezekana lakini ni ngumu sababu wanakaa wanabadilisha code. na ni zile receiver halali ndo zinapokea code automaticaaly. Wewe ukichakachua kila siku tatu au nne itabidi uigie net kufauta news scrambling code.

  Utakachoweza kupata kwenye dish la kuchakachua la la DSTV bila shida ni zile channel free. lakini sio kama SS. labda uwe na mfanyakazi fulani wa kuwa anakupa decryption code zao
  .

  Hiyo let me think twice usiwe mwanasiasa please tueleweshe.
   
 16. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mwaga mambo mkuu
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wachakachuaji wanapokutana na ma-capitalist, basi tafrani moja kwa moja.
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Mimi nilichosikia kuna setillite free za Arabini ambao hukamata channel za kulipia. Sijui kama ni kweli?
   
Loading...