Houth waanza kumiliki makombora ya Hypersonic

Najua vizuri sana, hyoersonic missile ya Russia hata USA, Israel wanazo lakini hawaziiti hypersonic ni missiles zenye speed kali, Rusia alizitumia lakini zikawa zinadakwa huko Ukraine hata Rusia wenyewe walishuka na kumuuliza mtaalamu aliyetengeneza hayo makombora, kwa sababu bomu la hypersonic huwa halidakwi. Kwa hiyo matarajio yenu ni houth kuiangusha Israel au USA?

Na unaamini maneno ya kuambiwa kuwa Russia katumia hypersonic missiles??
 
Back
Top Bottom