Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,204
- 10,949
Takriban wiki tatu zimepita tangu wanamgambo wa Houth watangaze wanakusudia kutoa habari ya kushtua nyoyo.
Habari hiyo haikufahamika hata pale nyaya mbili za data za intaneti za chini ya bahari ziliponyofolewa ambapo wanamgambo hao hawakutoa taarifa yoyote ya kuhusika kwao kama wanavyofanya kila siku pindi wanapozilenga meli zinazopita bahari nyekundu
Hatimae shirika la habari la Urusi ,Novost limetangaza kuwa wanazo taarifa kuwa wanamgambo wa Houth wanamiliki makombora hatari ya hypersonic kwenye hazina ya silaha zao.