geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,237
Wakuu mwanangu kapasua simu yangu samsung note 9 iko chakachaka.
Nilikua nauliza msaada naweza pata housing yake na gharama inaweza ikawa shingap?
Natanguliza shukrani
Nilikua nauliza msaada naweza pata housing yake na gharama inaweza ikawa shingap?
Natanguliza shukrani