Kweli duniani mambo ni tofauti sana. Kwa nje ya Afrika accomodation ni ishu sana, matangazo kama haya hua ni mengi sana na hayachukuliwi kama "issue". Watu mnashea sebule, jiko na loo, fully kuheshmiana. Hiu naona kwa Tz ni kichina, pole ww mtaftaji



Jerrymsigwa umesema kweli kabisa, ila sasa umesoma condition yake ya kuwa yeye analipa laki afu housemate wake analipa tatu. Hapo ndio kaleta utani, maana Nyumba ina bed rooms mbili leaving room, jiko na Choo. sema nini majibu ya humu ndani yamenichekesha sana.![]()
watu washamba tu mkuu mambo ya kawaida sana duniani kushare nyumba..huku bongo mtu yupo mwenyewe anaona sifa kulipia nyumba nzima millioni...siku akifulia ndo anajutaKweli duniani mambo ni tofauti sana. Kwa nje ya Afrika accomodation ni ishu sana, matangazo kama haya hua ni mengi sana na hayachukuliwi kama "issue". Watu mnashea sebule, jiko na loo, fully kuheshmiana. Hiu naona kwa Tz ni kichina, pole ww mtaftaji
sitaki tena bnaHivi umepata au bado???
watu washamba tu mkuu mambo ya kawaida sana duniani kushare nyumba..huku bongo mtu yupo mwenyewe anaona sifa kulipia nyumba nzima millioni...siku akifulia ndo anajuta