Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 14,620
- 113,438
Hapo unalipa mahari automaticallySasa hapo jamaa atakuwa kaoa au Kawowa?
Hapo unalipa mahari automaticallySasa hapo jamaa atakuwa kaoa au Kawowa?
Hata hivyo huyu ana matatizo. Maana thread zakeAmepunguza ukali wa maneno..
Tehe tehe teheHapo unalipa mahari automatically
Hapa nikuenda kwao bargain na mzee wake unalipa laki nane then unampeleka tandale kodi 30k ashike adabuTehe tehe tehe
Room mbili choo ndani sebule jiko
Naitaji mwanaume alipie laki tatu me moja
Wanataka laki nne
wewe kweli mwanamke wa haja hasa,Room mbili choo ndani sebule jiko
Naitaji mwanaume alipie laki tatu me moja
Wanataka laki nne
Hata hivyo huyu ana matatizo. Maana thread zake
Ndo hivyoHuyu anatuzuga tu.
Hapo mnaweza kujikuta mmeanzisha familia.....Halafu awe .....me!!
Room mbili choo ndani sebule jiko
Naitaji mwanaume alipie laki tatu me moja
Wanataka laki nne
Maeneo Mbezi beach
Kawe
Kunduchi
Maximum sharing cost 100000
Any gender
Anatafuta mwenza wa maisha kijanja.!Hapo mnaweza kujikuta mmeanzisha familia.....
Aaah! Hatari sana. Ila kwa ninavyowajua vijana wa kiume wanavyopenda vitu automatic dada atapata mtu muda si mrefu.Anatafuta mwenza wa maisha kijanja.!
Na huenda ameshapata.Aaah! Hatari sana. Ila kwa ninavyowajua vijana wa kiume wanavyopenda vitu automatic dada atapata mtu muda si mrefu.
Umempata au bado? Nikusaidie.Sitafuti mume ni housemate tu
Nipo tayari njoo inbox kwa terms and conditionsMaeneo Mbezi beach
Kawe
Kunduchi
Maximum sharing cost 100000
Any gender