Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,835
Duh nimecheka mpaka basi!
Uwiano wa 300,000/ - Na 100,000/- kwa 400,0000/- kweli hapo ni sponsor
acha tu..hili tangazo limekaa kisanii sana.Mh mi naona we hautafuti chumba bali unatafuta bwana wa kukulipia nyumbaMbona kelele sana wadau kama haifai poa

Kha...!!Room mbili choo ndani sebule jiko
Naitaji mwanaume alipie laki tatu me moja
Wanataka laki nne
Halafu awe .....me!!Duh nimecheka mpaka basi!
Uwiano wa 300,000/ - Na 100,000/- kwa 400,0000/- kweli hapo ni sponsor
Ukifika pm usifunge mlango, najaNalala mwenye kutaka aje pm
Umemaliza Kila kituUnataka housemate au sponsor..
3:1Mh. mi sijaelewa kabisa huo uwiano.
Bora angesema ukweli tu.Haha..
Tuma pichaNalala mwenye kutaka aje pm
Sasa hapo jamaa atakuwa kaoa au Kawowa?3:1
Three ratio One