Housegirl kufanya kila kitu

Housegirl kufanya kila kitu

Nyie hamna maana hata kidogo....
Mkeo anaeshinda anakufanyia kila kitu humuonei huruma huyo beki tatu ndo wajitia baba huruma hakuna lolote zaidi ya kuwinda uchi
Mmh!! Mimi mke wangu hashindi anafanya mikazi yote hiyo unayosema. Na huko ulikofika sio maudhui ya mada yetu.
 
Kabisa, kama unatingwa week days vipi w/end nayo unashindwa kufanya usafi wa maana?

Ni vizuri kutumia w/end mwanamke ushinde home kwajili ya kuangalia familia na shuhuli zote za hapo home. Ikiwa ni pamoja na kumfanyia usafi hubby wako kama kumkata kucha,kumshave na mengineyo[emoji85]
Dini ingeruhusu ningekuongeza ukawa mke wangu wa pili ati! Umenikuna kunako wooo!!!
 
Msaada ni muhimu kwa hawa watu kwamfano mie nimejiwekea kufua nguo zangu za mwanangu na mume wangu yeye hafui kabisaa tangu amekuja mwaka wa pili sasa,na kupika jioni ama mchana nikiwepo ni mie na kumuhudumia mtotot nikiwepo home,,,lakini vyombo sioshi kabisaa
Tueleze wewe madam G maana wenzako wanatoa visingizio vingi na excuse kibao, hizo unazofanya umepungukiwa nini?? Hujisikii kuwa mwanamke kwa kuwa unasaidia kazi za ndani??
 
Mbona umekuwa mkali sana hadi una deviate maudhui ya sred??
Au hii inakuhusu nini, pole anyways kama mume wako ananjunja mtumishi wa nyumbani na wewe jitafakari chukua hatua.
Kwa kuandika tu umeona na ukali wangu we ni zaidi ya genius, usiwe unamuhusisha mume wangu hapa nihusishe mie
 
Ikitokea umesafiri je?
Amesafili nani? Akisafili mke mi kawaida yangu nikiondoka asubuhi kuludi ni usiku, na ikitokea nimeludi mchana basi naingia mwenyewe jikoni kiujumla hua sina mazoea sana na beki 3 ni msimamo wako tu. Kwa sababu hakuna mbaya hapo duniani anavyofika si anakua rafu unamuona mbaya ngoja miezi kazaa ipite unaanza kumuona mzuli ndo hivyo.
 
Kwa kuandika tu umeona na ukali wangu we ni zaidi ya genius, usiwe unamuhusisha mume wangu hapa nihusishe mie
My husband wako atakuwa anaenjoy sana. You rock my world sana. Nyumba ikiwa na maelewano hata msaidizi wenu anafurahia kuishi na nyie.

BTW, nakubaliana na wewe kuwa, mume kumparamia msaidizi ni ujinga nd ukosefu wa hekima. Kumlala msaidizi maana yake huwezi kuiongoza nyumba yako, ndio maana unadhani huyo msaidizi anaweza kuichukua nafasi ya mke wako. Lakini nakukatalia kuwa msaidizi anaweza kuitwa "beki tatu", sio jina zuri kwa mtu anayechukua nafasi kubwa kulea watoto na kuangalia nyumba mkiwa nje ya nyumba.
 
Dah... wanawake sio madobi wala cleaners wala magardener mwanamke kazi yake ni moja tu...kufariji [emoji4]
 
Mwanaume kwa tabia yake yule anae mhudumia kwa karibu kila kitu ndo pia anampa vizawadi vidogo kwa siri hata km wakati huo halijamjia wazo la kumgegeda
 
Kuna dada hapa kinondoni mume kamwacha kwa sababu ya simu yeye kila wakati ni simu tu, ma beki tatu wanaoletwa hawakai kazi nyingi kupita maelezo mama anachati tu sasa yamemkuta.
huyohata mimi napiga chini
 
Binafsi mi sina dada wa kazi mpk ss coz nimeolewa na sina mtt. Ila ukishapata mtt na uko kazini dada lazima. Na wanaume lzm mjiongeze na mpunguze utemi. Haiwezekani nikipata mshahara unasema tushee majukumu. Tunatoka kazini pamoja unataka niingie jikoni. Km ni hvy basi mshahara wako ndo uhudumie nyumba. Kuna post nlioka mkaka analalamika humu mkews hatoi pesa na ana mshahara. Ukimuuliza kama yy anafua au kupika atakwambia sio kazi yake. Kwa nn mnawaonea wanawake hvy?
...Kama unawazo hayo,..talaka nje nje!
 
Back
Top Bottom