Housegirl achinjwa Mbezi Goigi

Housegirl achinjwa Mbezi Goigi

Dawa siku hizi ni kutembea na kinguruwe kidogo.. Wazungu si wanatembea na mbwa?
dawa ni kutembea na kinguruwe.. Hawatakugusa hawa
 
Mkuu unakua mkali tu lakini ungefanya hivi, kabla ya kuja humu ungekiuliza chanzo chako kila anachokijua ktk tukio hilo then, ndio utuletee humu jamvini. Don't panic brother
Wadau, kuna taarifa kuwa mitaa ya Mbezi Beach- Goig kuna housegirl amechinjwa. Hiyo nyumba huwa wanaishi wasomali...mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze
 
Inawezekana katika hiyo nyumba kuna kitu ambacho si halali kinaendelea na house girl alikuwa na information ya kutosha kuwaangamiza, wakaamua waanze nae.
 
Hiyo siyo taarifa, bali ni tetesi. Mtoa uzi ameuliza mtandaoni badala ya kwenda kuuliza mashuhuda na mamlaka.
"Inawezekana amechinjwa lakini hajafa"
Hata kama hajafa lakini si amechinjwa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom