Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,219
Huyu ni kutia mimba binti yake hizi ni dharau kabisa kazi zote hizo malipo finyuWatu wengine mnataka vibinti vyenu vibachikwe ujauzito na ma house boy tu
😬😁😁😀😂 Hatari sanaUmeamua kujiondolea aibu kinafki! Umuajiri mtu kwa kumlipa 2K kwa siku!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ni kawaida yenu! Tena kule Kibosho na Machame!! Unakuta kijana wa watu kwenye uwanja wa shule ya Lyamungo na mvua yote, ni yeye na mabuti! Anapambania 2K na msosi anaweza apewe wa usiku tu! Mmezidi kupenda sana pesa!
Sema wadada wenu ni wazuri asikwambie mtu, ukutane na kitoto cha O level ambacho hakijafahamu kirefu cha neno MOSHI, unakichakata mbususu kwa 10K tu[emoji39][emoji39], siku zingine elfu mbili mbili hizo mnazowalipa vijana wa watu kukatia lawa!
Kweli ukoroni haujaisha badoHouseboy mwenywe kujielewa anahitajika moshi
Marangu kilema
Awe na umri 20-35
Awe muaminifu ana
Awe na afya njema
Majukukumu
Kukatia majani
ngombe 1
Mbuzi 4
Kulima shambni msimu wa kilimo tu
Salary 60000 per month
Call& whatApp 0764616353
Umesahau na kulima kipindi cha masika [emoji3][emoji3][emoji3] Tanzania kuna watu wa Hovyo
Ngoja waje kukupa muongozo...
Si atangaze hilo dau la 360k alafu huyo house boy ajitegemee.Alafu mkuu usi-support unyonyajiHuyu jamaa atakuwa mwajiri anaelipa kima cha juu kabisa cha mshahara kwa hesabu zifuatazo;
Mtu wa kazi lazima alale nyumbani kwako. Tunaanza hesabu sio kuongea ongea tu huna data
a. Kulala siku 30@ guest kwa siku 5000/= 150,000/=
b. Chakula
Chai ya maziwa na kitafunwa fanya 2000/= kwa siku 30=60,000/=
Chakula cha Mchana fanya 2500/= kwa siku 30= 75,000/=
Chakula cha usiku fanya 2500/= kwa siku 30=75,000/=
Sasa chukua
Jumla ya (a+b)= 150,000/=+150,000/=
300,000/=
Chukua hela cash ya mshahara ukijumlisha na hiyo ni 360,000/= ni hela ndogo hiyo???
Hapo sijajumlisha hela ya umeme, maji, king'amuzi, sabuni, mafuta ya kujipaka, offer nyingine na mzagazaga mara apande gari la boss wake mara umpeleke mjini mara umtumie mtu vocha mara umlipie michango ya kijiji na mwenge na tozo utaweza kweli?
Mkuu punguza mshahara

Sasa mkuu utapewaje hiyo yote??Si atangaze hilo dau la 360k alafu huyo house boy ajitegemee.Alafu mkuu usi-support unyonyaji
Hayo mahesabu unayopiga ya msosi utadhani kweli yanatolewa hapo marangu na huyu mchaga [emoji1787][emoji1787]Huyu jamaa atakuwa mwajiri anaelipa kima cha juu kabisa cha mshahara kwa hesabu zifuatazo;