House rent | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House rent

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Chimbuvu, Aug 4, 2012.

 1. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hallo wana jf mi nipo rock city ila tuna nyumba mitaa ya sinza na kuna apartment nataka kuimalizia itakuwa inajitegemea one bedroom,sitin rum toilet,full vigae chini na grill sasa nilitaka kujua market price ya kurent hiyo nyumba maana mwezi wa tisa ndo naimalizia.
   
Loading...