House maid anatafutwa

Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
507
Je una ndugu jamaa au rafiki na ungependa kumtafutia kazi ya uangalizi wa nyumba. Nitumie message yaani PM.
 
Je una ndugu jamaa au rafiki na ungependa kumtafutia kazi ya uangalizi wa nyumba. Nitumie message yaani PM.

Please mention the job description, renumeration, duty station and other important information
 
kuna dada namfahamu anasifa zifuatazo;


  1. katembea na waume wasiopungua 10 ambao walikuwa ni mabosi wake :)
  2. ana uzoefu wa miaka 20 katika fani hii
  3. ametembea na watoto wa kiume wa mabosi wasiopungua wa 4
  4. anajua kupika mpaka kuwatengea waume za watu maji ya kuoga
  5. hupendelea sana vazi la khanga nyepesi wakati wa jioni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom